Dr.John Magufuli ahaidi neema kwa wakulima wadogo nchini huku akieleza jinsi atakavyo wasaidia wakulima wa miwa Kilombero.http://youtu.be/ yNiCo0msLzU
Viongozi wa dini na waumini ya dini ya kiislamu waliombea taifa la Tanzania huku wakitaka amani na utulivu kutamalaki katika kipindi hiki.http://youtu.be/kRFXg_ RzY6g
Meya wa jiji la Dar es salaam Didas Masabuli akanusha tuhuma juu yake za kutaka kuuza jengo la Machinga Complex.http://youtu.be/ qxsb8FTiZ-g
Kongamano laandaliwa kujadili nafasi ya mwanamke katika kuleta amani ikiwa ni pamoja na kupiga vita fikra za kigaidi na kujitenga http://youtu.be/mrCEyvsFV7U
Chama cha Mapinduzi wilayani Nachingwea mkoani Lindi chazindua kampeni za ubunge na udiwani katika jimbo hilo.http://youtu.be/ fgzePwXCgNM
Mgombea wa ubunge jimbo la Vunjo mh.Mbatia azaindua kampeni zake huku akihaidi kutatua kero za wananchi.http://youtu.be/- tateSo4CW4
Takwimu zaonyesha kwamba jumla ya wanyama 70 watakuwa wanakufa kwa mwezi kwa kugongwa na magari katika mwaka 2024 na 2025
Mgogoro waibuka kati ya wachimbaji wadogo na mwekezaji mkubwa katika eneo la machimbo ya Tanzanite Mererani huku hofu ikitanda
Mgombea uraisi wa Chadema na Ukawa Edward Lowassa atangaza neema kwa wakulima wa Tumbaku huku akitaka walipwe stahiki zao.http://youtu.be/WUrHF- l2poY
Tume ya uchaguzi ya Zanzibar yapitisha jumla ya majina 14 ya wagombea uraisi visiwani humo http://youtu.be/F9mi8cM_21c
Katibu Mkuu wa ccm Abdulahman Kinana awaomba wakazi wa moshi Mjini kuichagua ccm kwa kuwapatia mbunge katika jimbo hilo.http://youtu.be/lRT1- V6kMdA
Vijana nchini waitaka serikali kubuni mpango maalumu utakao wasaidia kubaini na kuwachukulia hatua kali za kisheria watu wanaojihusisha na uuzwaji na uingizaji wa dawa za kulevya http://youtu.be/L9cX6rCHBdM
Raisi Kikwete asema nchi ilipofika kwa sasa inahitaji raisi wa kariba ya Dr.Magufuli kwani ni mchapa kazi na itakuwa iko mikono salama.http://youtu.be/ M32bjQUyAm0
Chama cha ACT jimbo la Ilemela chazindua kampeni zake huku mgombea wa chama hicho akihaidi kutatua matatizo ya elimu,afya na maji.http://youtu.be/ Z2xYXmkq4Xk
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe amaliza utata na sintofahamu ya Mgombea jimbo la Nzega mjini kwa kuwahoji wananchi http://youtu.be/8cyGQrcKvUo
AZAKI yazindua ilani ya uchaguzi inayolenga kuimarisha amani wakati na baada ya uchaguzi wa mwaka huu. http://youtu.be/eP6ovMmxz0k
Raisi kikwete asema chama cha mapinduzi hakikukosea kumteua Dr.Magufuli kwani kanuni zote zilifuatwa na anatosha kwa nafasi hiyo.https://youtu.be/ Gy4UnqeXG50
No comments:
Post a Comment