Mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo kupitia CCM Didas Masaburi ahaidi kuleta mabadiliko ndani ya jimbo hilo na kubainisha harakati zake.https://youtu.be/5LHqB996TRI
Wakati Tanzania ikijiandaa na uchaguzi mkuu wa October rai yatolewa kwa watanzania kutunza na kulinda amani ya nchi. https://youtu.be/-lVJSpSvHxs
Jukwaa la wahariri Tanzania la laani kupigwa na kujeruhiwa kwa mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru na wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa chadema.https://youtu.be/TGXHOGb-qko
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wa ugaidi na vitendo vya kijambazi jijni humo. https://youtu.be/rqN0-AHEg7M
Mgombea mwenza wa CCM Bi.Samia Suluhu aendelea kunadi sera za chama hicho huku akihaidi kuboresha sekta ya uvuvi. https://youtu.be/7956H6276rM
Mgombea uraisi kupitia CCM Dr.Magufuli aendelea kunadi sera zake mkoani Tabora huku akihaidi kulinda maliasili za taifa. https://youtu.be/t2yVs9WOaVc
Raisi Jakaya Kikwete awateua wakuu wa mikoa wapya wawili huku akiwaahamisha wawili wengine vituo vya kazi. https://youtu.be/qUIcspDD_Io
Serikali yashauriwa kuongeza muda wa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria ili kuweza kuwapika vizuri vijana hao wa Kitanzania. https://youtu.be/WOcNhginij4
Katika hali isiyo tegemewa mifugo ya Wamasai yavamia mashamba ya wakulima mkoani Kilimanajaro na kuzua taharuki. https://youtu.be/eWoPdU1RBU4
Kenya na Tanzania zakutana kwa muda wa siku 5 kujadili masuala ya mipaka baina ya nchi hizo mbili ili kutekeleza agizo la umoja wa Afrika. https://youtu.be/NNAxqDb2g90
Mkuu wa chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe awataka watanzania kuchagua viongozi wenye dhima ya kweli ya kuwaletea maendeleo.https://youtu.be/7R8Tq9mTNoA
Ukosefu wa umakini katika kuzingatia alama za barabarani baina ya madereva mkoani Mwanza kwa elezwa kuwa kikwazo kikubwa katika kupamabana na ajali za barabarani.https://youtu.be/7WW1Ap8Nw-A
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linawashikilia watu 6 kwa tuhuma za uharamia na baada ya kufanya uporaji huku wakikutwa na silaha za kivita. https://youtu.be/Z9_frOXOvsw
Mgombea ubunge wa CCM Moshi Mjini ahaidi kuboresha maslahi ya vijana na kuipatia kila kata gari la polisi shirikishi. https://youtu.be/sQ4knP3Yi78
Aliyekuwa mwenyekiti wa CUF Prof.Lipumba azungumizia makubaliano katika ukawa na mwelekeo wa umoja huo na kutoa ushauri. https://youtu.be/89yV-X9UKZM
No comments:
Post a Comment