Mamlaka ya maji safi nchini kesho yaanza kusajili magari yanayotoa huduma ya maji safi pamoja na visima vya maji safi kwa lengo la kupunguza kuenea kwa kipindupindu.https://youtu.be/RkPXjA3f2NM
Wauzaji wadogo wa bidhaa za kampuni ya TBL waanza mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kibiashara ili waweze kua wajasiriamali ama wafanya biashara wakubwa.https://youtu.be/7ulki6Ncrck
Waumini wa dini kiislamu nchini waungana na waumini wenzao dunia kote kusherekea sikukuu ya eid el hajj wakifanya swala kwa pamoja. https://youtu.be/O77whWqiNC0
Katika hali ya kusikitisha mahujaji zaidi ya 500 wafariki dunia nchini Saudi Arabia kufuatia mkanyagano wakati wa ibada ya Hijahttps://youtu.be/ YQljoACT3k0
Uongozi wa Ukawa wakataa kushiriki mdahalo wa wagombea uraisi huku ukisisitiza hauna mda kwa sasa. https://youtu.be/PAbxw_MYz48
Wafanyakazi wa migodini watakiwa kulinda uaminifu na uadilifu mahali pa kazi ili waweze kulinda ajira zao. https://youtu.be/F8m5L9EHUVE
Waandishi wa habari walia na ukata wa fedha za ripoti za uchaguzi jambo linalopelekea kukosekana kwa usawa katika utoaji ripoti za uchaguzi.https://youtu.be/iTa9DfOR5iU
Mahujaji takribani 717 waripotiwa kufariki dunia nchini Saudi Arabia baada ya kutokea mkanyagano wakati wa ibada ya Hija huko Makkahttps://youtu.be/ djr9CBwLL44
Chama cha ACT wazalendo chalia na ukata wa fedha za kampeni za uchaguzi jambo linalokwamisha harakati za chama hicho. https://youtu.be/IvHMKbnDmfg
Kila uchwao wananchi waelezwa kuwa na shauku kubwa ya kufuatilia kila kinachoendelea nchini zikiwa ni dakika za lala salama. https://youtu.be/JZE7qTOhR_s
Makamo wa raisi wa Tanzania Dr.Bialali asisitiza umuhimu wa amani huku akiwataka viongozi wa dini kuhubiri ili kuleta umoja wa kitaifa. https://youtu.be/qTxxXp1_Bn0
Timu ya Stand United chama la wana yatamba kufanya vyema katika michezo yake miwili ya hapa jijini Dar es salaam ikiwemo ya JKT Ruvu na Simba sports clubhttps://youtu.be/ a1sept718UA
Timu ya Barcelona yakutana na aibu baada ya kupigwa kipigo cha goli 4-1 na timu ya Celta Vigo huku mshambuliaji Aspas akiingia nyavuni mara mbili. https://youtu.be/rs-V6RBk670
Mgombea mwenza wa uraisi wa CCM Bi.Samia Suluhu amaliza kampeni zake mkoani Tanga huku akinadi sera za CCM na kuhaidi kuboresha sekta ya afya.https://youtu.be/SEozDbLXPXs
No comments:
Post a Comment