1. Rufaa za Wabunge
Tume ya Taifa ya Uchaguzi
ilipokea Rufaa za Wabunge 55 na
imeshatolea maamuzi rufaa 42 bado rufaa za Wabunge 13 ambazo vielelezo
vyake vinasubiriwa kutoka kwenye Halmashauri husika. Kulikuwa na Rufaa 16 za
Wabunge waliokuwa wameenguliwa. Kati ya hizo Wabunge 13 wamerudishwa kuendelea na kampeni na rufaa 3 Tume ilikubaliana na maamuzi ya
Wasimamizi wa Uchaguzi hivyo hao hawatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea.
Aidha, rufaa 24 zimekataliwa na Tume
ambapo maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi yataendelea kubaki kama yalivyo na
wagombea wataendelea kugombea. Pia kuna
rufaa 2 ambazo Tume haijazijadili kwa kuwa hazikufuata utaratibu wa
kuwasilisha Tume yaani kupitia kwa Wasimamizi wa Uchaguzi wa Majimbo husika
hivyo, maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi yatabaki kama yalivyo na wagombea
wataendelea kugombea kama walivyoteuliwa. (Jedwali
1)
2. Rufaa za Madiwani
Tume ya Taifa ya Uchaguzi
ilipokea Rufaa za Madiwani 200 na
imeshatolea maamuzi rufaa 82 bado rufaa za Madiwani 118 ambazo zinaendelea kufanyiwa kazi. Kulikuwa na Rufaa 16 za Madiwani waliokuwa wameenguliwa.
Kati ya hizo Wabunge 15 wamerudishwa
kuendelea na kampeni na rufaa 1 Tume
ilikubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi hivyo hao hatarudishwa kwenye
orodha ya Wagombea. Aidha, rufaa 64 Tume
ilikubaliana na maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi hivyo yataendelea kubaki kama
yalivyo na wagombea wataendelea kugombea. (Jedwali
2)
Jedwali
1 (Tarehe 31/08/2015)
Na.
|
Jimbo
|
Aliyekata Rufani
|
Aliyekatiwa Rufani
|
Uamuzi wa Tume
|
1
|
Rungwe
|
Frank
George Maghoba
ACT
Wazalendo
|
Saul
Henry Amon
CCM
|
Tume
imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
2
|
Kinondoni
|
Karama
Masoud Suleiman,
ACT Wazalendo
|
Azzan
Iddi Mohamed
CCM
|
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha
Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Kinondoni.
|
|
|
|
|
|
3
|
Peramiho
|
Mwingira
Erasmo Nathan
CHADEMA
|
Jenista
Joakim Mhagama
CCM
|
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha
Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Peramiho.
|
|
|
|
|
|
4
|
Lindi
Mjini
|
Barwany
Salum Khalfan
(CUF)
|
Kaunje
Hassani Selemani
(CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
5
|
MLALO
|
GOGOLA
SHECHONGE GOGOLA (CUF)
|
RASHID
ABDALLAH SHANGAZI (CCM)
|
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha
Mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Mlalo.
|
|
|
|
|
|
6.
|
MAFIA
|
KIMBAU OMARY AYOUB (CUF)
|
DAU MBARAKA KITWANA (CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
7.
|
MJI WA HANDENI
|
DAUDI KILLO LUSEWA (CHADEMA)
|
KIGODA ABDALLAH OMARI (CCM)
|
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha
Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Mji wa Handeni.
|
|
|
|
|
|
8.
|
NJOMBE KUSINI
|
EMMANUEL GODGREY MASONGA (CHADEMA)
|
EDWARD FRANS MWALONGO (CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
9
|
NJOMBE KUSINI
|
EMMANUEL GODFREY MASONGA
(CHADEAMA)
|
WILLIAM EDWARD MYEGETA
(DP)
|
Tume
imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
10.
|
NJOMBE KUSINI
|
EMMANUEL GODFREY MASONGA
(CHADEMA)
|
EMILIAN JOHN MSIGWA
(ACT -wazalendo)
|
Tume
imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
11.
|
KINONDONI
|
KALUTA, AMIRI ABEDI
(CHAUMMA)
|
AZZAN IDD MOHAMED
(CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
12.
|
MICHEWENI
|
KHAMIS JUMA OMARI (CCM)
|
HAJI KHATIB KAI (CUF)
|
Tume
imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
13.
|
CHALINZE
|
SHOO GASPER AIKAELI (ACT –Wazalendo)
|
KIKWETE RIDHIWANI JAKAYA (CCM)
|
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha
Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Chalinze.
|
|
|
|
|
|
14.
|
CHALINZE
|
TORONGEY MANGUNDA MATHOYO
(CHADEMA0
|
KIKWETE RIDHIWANI JAKAYA
(CCM)
|
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha
Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Chalinze.
|
|
|
|
|
|
15.
|
KASULU MJINI
|
MACHALI MOSES JOSEPH
(ACT – Wazalendo)
|
NSANZUGWANKO DANIEL NICODEMUS
(CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
16.
|
MWANGA
|
KILEWO HENRY JOHN (CHADEMA)
|
PROF. MAGHEMBE JUMANNE ABDALLAH (CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
17.
|
Tarime Mjini
|
Esther Nicholas Matiko
(CHADEMA )
|
Deogratius Meck Mbagi
(ACT – Wazalendo)
|
Tume
imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
18.
|
Ulanga
|
Celina Ompeshi Kombani (CCM)
|
Ikongoli Pancras Michael (CHADEMA)
|
Tume
imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
19.
|
Nzega
Mjini
|
Mezza
Leonard John (CUF)
|
Bashe,
Mohammed Hussein (CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
20
|
Nkenge
|
Bagachwa Salim Abubakar (CUF)
|
Kamala Diodorus Buberwa (CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
21.
|
Ulanga
|
Celina Ompeshi Kombani (CCM)
|
Isaya Isaya Maputa (ACT –
Wazalendo)
|
Tume
imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
22.
|
Bukene
|
Elias
Michael Machibya (CCM)
|
Simbi
Alex Mpugi (CUF)
|
Tume
imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
23.
|
Ileje
|
Janeth
Zebedayo Mbene (CCM)
|
Emmanuel
Amanyisye Mbuba (NCCR – Mageuzi)
|
Tume
imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
24
|
Ileje
|
Emmanuel
Amanyisye Mbuba
(NCCR
– Mageuzi)
|
Janeth
Zebedayo Mbene (CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
25
|
Kigoma
Kusini
|
Bidyanguze
Nashon William (ADA – TADEA)
|
Msimamizi
wa Uchaguzi (RO)
|
Tume imekubali Rufaa ya mrufani
kwani aliwasilisha fomu 4 za uteuzi zenye jumla ya wadhamini 52. Hivyo, Tume
imemrejesha Mgombea wa ADA TADEA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Kigoma
Kusini .
|
|
|
|
|
|
26
|
BUMBULI
|
DAVID JOHN CHAMYEGH
(CHADEMA)
|
JANUARY YUSUF MAKAMBA ( CCM)
|
Tume imekubali rufaa
na imemrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Bumbuli
aendelee na Kampeni.
|
|
|
|
|
|
27
|
DODOMA MJINI
|
KIGAILA
BENSON SINGO (CHADEMA)
|
MAVUNDE
PETER ANTONY (CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
28
|
LUDEWA
|
MSAMBICHAKO
BARTHOLOMEO A. MKINGA ( CHADEMA)
|
FILIKUNJOMBE
DEO HAULE (CCM)
|
Tume imekubali Rufaa na imetengua
uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na
imemrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la
Ludewa. Aendelee na Kampeni.
|
|
|
|
|
|
29
|
KINONDONI
|
MTULIA MAULID SAID ABDALLAH CUF
|
AZZAN IDD MOHAMED CCM
|
Tume imeikubali rufaa
na imemrejesha Mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Kinondoni
aendelee na Kampeni.
|
|
|
|
|
|
30
|
MTAMA
|
SELEMANI
SAIDI MTULUMA
UPDP
|
MCHINJITA
RASHID ISIHAKA
CUF
|
Tume
imekataa rufaa na inakubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi hivyo
Mrufani ameondolewa kwenye ugombea kihalali na kisheria.
|
|
|
|
|
|
31
|
UKONGA
|
JERRY
WILLIAM SILAA (CCM)
|
WAITARA
MWIKABE (CHADEMA)
|
Tume
imeikataa imekubaliana na uamuzi wa
Msimamizi wa Uchaguzi kuwa Waitara
Mwikwabe ni Mgombea halali. Wagombea waendelee na kampeni.
|
|
|
|
|
|
32
|
SENGEREMA
|
FRANCISCO K. SHEJUMABU
(UDP)
|
TABASAM H. MWAGAO (CHADEMA)
|
Tume
imekataa rufaa na inakubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi hivyo, Tabasam H. Mwagao ni mgombea halali.
|
|
|
|
|
|
33
|
SENGEREMA
|
TUMAINI
MWALE KABUSINJA (NCCR – Mageuzi)
|
HAMIS
MWAGAO TABASAM (CHADEMA)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi hivyo, Tabasam H. Mwagao ni mgombea halali.
|
|
|
|
|
|
34
|
MOSHI MJINI
|
KIRETI KAMASHO ISSAC (SAU)
|
JAPHARY RAPHAEL MICHAEL (CHADEMA)
|
Tume
imekataa rufaa ya mrufani, kwa kuwa hajatoa uthibitisho kuwa mrufaniwa siyo
raia wa Tanzania. Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi hivyo,
Japhary Raphael Michael ni mgombea
halali.
|
|
|
|
|
|
35
|
MADABA
|
BUSARA LOSTOON KAISARI (ACT –
Wazalendo)
|
Msimamizi wa Uchaguzi
|
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha BUSARA
LOSTOON KAISARI, Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo
la Madaba.
|
|
|
|
|
|
36
|
TANGA MJINI
|
NUNDU OMARI RASHID (CCM)
|
KIDEGE HAMAD AYUBU MHAMED (ACT –
Wazalendo)
|
Tume imekubaliana na, uamuzi wa Msimamizi
wa Uchaguzi kwa hivyo rufaa imekataliwa. Wagombea wanaendelea na kampeni
|
|
|
|
|
|
37
|
TANGA MJINI
|
NUNDI OMARI RASHID (CCM)
|
MUSSA BAKARI MBAROUK (CUF)
|
Tume imekubaliana na uamuzi wa
Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa na Wagombea wanaendelea na
kampeni.
|
Tarehe 02/09/2015
|
||||
38
|
ARUMERU MASHARIKI
|
NASSARI JOSHUA SAMWEL (CHADEMA)
|
PALLANGYO JOHN DANIELSON (CCM)
|
Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa
Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa na wagombea wanaendelea na Kampeni..
|
|
|
|
|
|
39
|
SHINYANGA MJINI
|
STEVEN JULIUS MASELE (CCM)
|
PATROBAS PASCHAL KATAMBI (CHADEMA)
|
Tume imekubaliana na uamuzi wa
Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa. Wagombea waendelee na
kampeni.
|
40
|
MTAMBWE
|
KHAMIS SEIF ALLI (CCM)
|
ALI SALIM OMARI (AFP)
|
Rufaa
hii haikujadiliwa na Tume kwa sababu utaratibu wa uwasilishaji fomu za rufaa
haukufuatwa.
|
|
|
|
|
|
41
|
MGOGONI
|
ISSA JUMA HAMAD(CCM)
|
SULEIMAN ALI YUSUF
|
Rufaa
hii haikujadiliwa kwa sababu utaratibu wa uwasilishaji fomu za rufaa
haukufuatwa.
|
|
|
|
|
|
Jedwali
2 Tarehe 01/07/2015
Na.
|
Jimbo
|
Aliyekata Rufani
|
Aliyekatiwa Rufani
|
Uamuzi wa Tume
|
1.
|
CHIKUNJA/NDANDA
|
KASTOR
JOSEPH MMUNI
(CHADEMA)
|
MPONDA
FILEMON NOAMECK DISMAS (NLD)
|
Tume
imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
2
|
KIMAMBA
‘A’/KILOSA
|
SILAS
RAMADHANI KASSO (CUF)
|
AIRU
MUSTAPHA KAISI (ACT-WAZALENDO)
|
Tume
imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi
|
3
|
NYAMISANGURA/TARIME
MJINI
|
BASHIRI
ABDALLAH SELEMANI (CHADEMA)
|
NCHANGWA
SAMWELI MAGOIGA
(CCM)
|
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea
wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Nyamisungura
|
4
|
OLMOLOG/LONGIDO
|
MATHIAS
ORKIREYE MOLLEL
(CCM)
|
DIYOO
LOMAYANI SYOKINO LAIZA
(CHADEMA)
|
Tume
imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
5
|
MWISENGE/MUSOMA
|
LADISLAUS
MANYAMA MAGESA
(CCM)
|
BWIRE
NYAMERO BWIRE (CHADEMA)
|
Tume
imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi
|
6
|
BOMANI/TARIME
MJINI
|
MECCO
KAZIMOTO KABILA
(CHADEMA)
|
MASUBO
GODFREY MICHAEL
(CCM)
|
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea
wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya BOMANI.
|
7.
|
ISYESYE/JIJI
LA MBEYA
|
MDEMU
MELAS PAUL (CCM)
|
IBRAHIM
JOHN MWAMPWANI
(CHADEMA)
|
Tume
imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
|
8
|
MBARIKA/MISUNGWI
|
IZENGO
TUMAINI PETER
(CHADEMA)
|
ZUBERI
MANZA NGUKULA (ACT-WAZALENDO
|
Tume
imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi
|
9
|
KILAGANO/WILAYA
YA SONGEA
|
BATHLOMEO
SIXMUNDI MKWERA
(CHADEMA)
|
EMANUEL
EMILIAN NGONYANI
(CCM)
|
Tume
imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi
|
10
|
ISAMILO/Jiji
la Mwanza
|
TIBA
DEUS TIBA
(TADEA)
|
YAHAYA
IDDI NYALENGA
(ACT-WAZALENDO)
|
Tume
imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi
|
11
|
BENDERA/SAME
|
MICHAEL
RICHARD MCHARO
(CHADEMA)
|
CHRISTOPHER
MAIKO MZIRAI
(CCM)
|
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea
wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Bendera.
|
12
|
MBWEWE
|
MAHAMBA
BAKARI RAMADHANI
(CCM)
|
MOHAMEDI
JUMA RAJABU
(CUF)
|
Tume
imetengua uamuzi wa Msimamizi wa
Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea CUF kwenye orodha ya wagombea udiwani
Kata ya Mbwewe
|
13
|
MABIBO
|
JOSEPH
WILLIAM KESSY
(CCM)
|
DASTAN
ATHANASIO ERNEST
(CUF)
|
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa
Uchaguzi na kumrejesha mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea wa Kata ya
Mabibo. Wagombea waendelee na kampeni.
|
14
|
WANGING’OMBE
|
HINGI
ROSINA GABRIEL
(CHADEMA)
|
NYAGAWA
GEOFREY KILUNDO
(CCM)
|
Tume
imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi
|
|
|
|
|
|
15
|
TALAWANDA/CHALINZE
|
SHABANI
MAULIDI SEMINDU
(SAU)
|
ZIKATIMU
SAIDI OMARI
(CCM)
|
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na
kumrejesha Mgombea kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Talawanda.
|
|
|
|
|
|
16
|
KIWANGWA/CHALINZE
|
OMARI
RASHIDI DAVID
(CHADEMA)
|
MALOTA
HUSEIN KWAGGA
(CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa
Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
17
|
LUGOBA/CHALINZE
|
UCHECHE
IDDI MRISHO
(CHADEMA)
|
MWENE
ISSA REHEMA
(CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
18
|
ISYEYE/MBEYA
JIJI
|
MDEMU
MELAS PAUL (CCM)
|
SANKE
ENOCK SESO (APPT-Maendeleo)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
19
|
ISYEYE/MBEYA
JIJI
|
MDEMU
MELAS PAUL (CCM)
|
MWASEBA
SARAH MWASAMBOMA (NCCR-Mageuzi)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na wagombea wote
wanaendelea na zoezi
|
|
|
|
|
|
20
|
ISYEYE/MBEYA
JIJI
|
MDEMU
MELAS PAUL (CCM)
|
FABIAN
ERNEST DEO (ACT-WAZALENDO)
|
Tume
imkataa rufaa na imekubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
21
|
KASHAI/BUKOBA
MJINI
|
KABAJU
NURULHUDA ADULKADIR (CHADEMA)
|
SAMORA
A. LYAKURWA (CCM)
|
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea
wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Kashai. Wagombea waendelee na
kampeni.
|
|
|
|
|
|
22
|
MBWEWE/CHALINZE
|
MAHAMBA BAKARI
RAMADHANI (CCM)
|
PAPA JUMA HAMISI (CHADEMA)
|
Tume
imetengua uamuzi wa Msimamizi wa
Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea CHADEMA kwenye orodha ya wagombea
udiwani Kata ya Mbwewe
|
|
|
|
|
|
23
|
KIWANGWA/CHALINZE
|
MALOTA
HUSSEIN KWAGGA (CCM)
|
OMARI
RASHID DAVID (CHADEMA)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa
Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
24
|
MCHANGANI/TUNDURU
KASKAZINI
|
MAWILA
MOHAMED YASIN
CUF
|
HAIRU
HEMED MUSSA
CCM
|
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na
kumrejesha Mgombea MAWILA MOHAMED YASIN CUF kwenye orodha ya wagombea udiwani
Kata ya Mchangani.
|
|
|
|
|
|
25
|
BUGORORA/MISENYI
|
SWALEH
AHMADA MLISA
(CHADEMA)
|
PROJESTUS
M. RUZIGIJA
(CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
26
|
SIRARI/TARIME
|
SAGARA
AMOS NYABIKWI (CCM)
|
NYANGOKO
PAUL THOMAS
(CHADEMA)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
27
|
KIBASUKA/
TARIME
|
ISAYA NYANGOYE TARRIMO (ACT-Wazlendo)
|
LOICE CHACHA MANYATA (CHADEMA)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi
|
|
|
|
|
|
28
|
Kibasuka/ Tarime
|
ISAYA NYANGOYE MATIKO (ACT- Wazalendo)
|
KELEMANI NYAKIHA KEHEMGU (CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
29
|
IYELA/ JIJI LA MBEYA
|
EMMANUEL ELIAH LYATINGA (CCM)
|
CHARLES CHANGANI MKELLA (CHADEMA)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
30
|
IGANJO
|
WASHAHA JAIVU MIHALI (CCM)
|
DAVID EDWARD MWANGONELA (CHADEMA)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
31
|
ISYESYE
|
MDEMU MELAS PAUL
CCM
|
MWASEBA SARAHA MWASAMBOMA
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
32
|
MIYUJI/ MANISPAA DODOMA
|
WALLACE DANIEL LUSSINGU
|
DAVID WILLIAM MGONGO
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
33
|
MNADANI
|
EUSTACE RWENYANGILA RUBANDWA
|
FARIDA ISSA MBARUKU
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
34
|
THEMI/ JIJI LA ARUSHA
|
LABORA PETRO NDARPOI
CCM
|
MELANCE EDMOND KINABO
CHADEMA
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
35
|
LUFILYO/ BUSOKELO
|
MWAMAFUPA LUCAS GIDION
CCM
|
RICHARD AFRICA MWANGOMALE
CHADEMA
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
36
|
SOMANDA/ BARIADI
|
HERI MCHUNGA ZEBEDAYO
CHADEMA
|
ROBERT LWEYO MGATA
CCM
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
37
|
ULEMO/ IRAMBA
|
ELIKANA MAKALA SHOMIA
|
SAMWELY F. SHILA
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
38
|
KIEGEANI/ MAFIA
|
SELEMANI DARUSI ALLY
|
HASSAN MOHAMED SWALHU
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
39
|
ISYESYE/ JIJI LA MBEYA
|
MDEMU MELAS PAUL
|
SANKE ENOCK SESO
|
Tume imepitia vielezo vya mrufani na kujiridhisha rufaa haina
msingi. Hivyo Tume imekubali uamuzi wa
Msimamizi wa Uchaguzi na wagombea wote wanaendelea na zoezi
|
|
|
|
|
|
40
|
PERA/ CHALINZE
|
MAJIDI MUSSA ISALE
(CHADEMA)
|
LEKOPE
LAINI
LANG’WESI
(CCM)
|
Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na
kumrejesha Mgombea wa CHADEMA kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Pera
|
|
|
|
|
|
41
|
MWAYA/ ULANGA
|
LILONGERI FADHILI FURAHA
(CCM)
|
MOHAMEDI KAPELEWELE RASHIDI
(CHADEMA)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
42
|
KIRUSHYA/ NGARA
|
SOSPETER SALAZIEL KAPFHUM
(CHADEMA)
|
SENTORE
MIBULO JACOB
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
43
|
IYELA/ JIJI LA MBEYA
|
EMMANUEL ELIAH LYATINGA
|
KELVIN HENRY MYEMBA
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
44
|
MBEZI MKURANGA
|
RAMADHANI MOHAMED MBWELA
CUF
|
RASHID MOHAMED SERUNGWI
CCM
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
45
|
SHUNGUBWENI/MKURANGA
|
KULWA SELEMANI MSUMI
CUF
|
KAMBWIRI OMARI SHAIBU
CCM
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
46
|
CHIFUTUKA/BAHI
|
NOLLO MWINJE MNZAJILA
CCM
|
RUBENI SALI LUHENDE
CHADEMA
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
47
|
KITUNTU/KARAGWE
|
MODEST KATARE KALOKOLA
CHADEMA
|
ZIDINA TAYEBWA MURUSHID
CCM
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
48
|
VIANZI/MKURANGA
|
NAZIRU JUMA CHUMU
CUF
|
NASSOR ALLY CHUMA
CCM
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
49
|
IPALA/DODOMA MJINI
|
SHUKRANI AMOSI MHALINGA
NCCR-MAGEUZI
|
GEORGE STEPHEN NGAWA,
VICTORIA, MATAGI MAGABE, AMANI CHIBWANA MADELEMU
CCM na ACT-WAZALENDO
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
50
|
LUKANDE/WILAYA YA ULANGA
|
MAJIJI NOVATUS SILVATUS (CCM)
|
MHAWI AWDHI AMIRI (CHADEMA)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
51
|
MONDO/CHEMBA
|
SAMBALA SAID OMAR (CCM)
|
ATHUMAN HUSSEIN KIDUNDA (CHADEMA)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
52
|
UPONERA/ULANGA
|
MWENTI MARIA MAGNUSI (CCM)
|
EMELIANA ZAKARIA MHAWI (CHADEMA)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
53
|
BUSIS/SENGEREMA
|
BUZANGI FLAVIAN ARBOGAST (ACT –Wazalendo)
|
DICKSON YONA SAMWEL (CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
01/09/2015
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Na
|
JIMBO
|
Aliyekata
Rufaa
|
Aliyekatiwa
Rufaa
|
Uamuzi
wa Tume
|
54
|
MINZIRO/ MISENYI
|
TWAHA YUNUSU LUBYAYI (CCM)
|
GEORGE MUKASA KAZIBA (CHADEMA)
|
Hakuna ushahidi kuthibitisha kuwa
Mrufaniwa si mkazi wa kawaida wa Kata ambayo anagombea. aliiwasilisha barua kwa Msimamizi Msaidizi
wa Uchaguzi kuthibitisha Pingamizi lake kwa kupitia kwa Mtendaji wa Kijiji na
Mwenyekiti. Rufaa hina msingi
Serkretatieti inapendekeza ikataliwe.
Wagombea waendelee na kampeni.
|
55.
|
MAWASILIANO/ULANGA
|
SALUM DOTTO
MOHAMED (ACT-WAZALENDO)
|
INNOCENT VICTOR
MWACHIPA (CCM)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali
uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
56
|
MADUKANI
|
BAHAJI HUSSEIN ALLY (CCM)
|
SAIDI LUGA KITEGILE (CHADEMA)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
57.
|
VIANZI
|
SEIF RAJABU LUMU
(CHADEMA)
|
ANDASON FRANCIS
MBANGUKA (CCM)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali
uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
58.
|
MUNDEM/BAHI
|
FELIX THOMAS MBUNA
(CHADEMA)
|
GORDEN M. ENYAGALO
(CCM)
|
Tume
imekubali rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. Imemrudisha
mgombea wa CHADEMA. Wagombea waendelee na kampeni.
|
59.
|
KILOSA MPEPO/
HALMASHAURI YA MALINYI
|
KIWANGA KILIAN
BONAVE NTURA (CHADEMA)
|
HAMISA YUSUPH
KYELULA (CCM)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali
uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
60.
|
LUPILO/WILAYA YA
ULANGA
|
MAHUNDU AYUBU
HASSAN (CCM)
|
MADUNDA ABDALA
MKALIMOTO (CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali
uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
61
|
NYARUYEGE/ BUSANDA
|
CHARLES KALEMELA MAKONA (CHADEMA)
|
MALIMI SAMSONI SAGUDA (CCM)
|
Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na
kumrejesha mgombea wa CHADEMA. Wagombea waendelee na kampeni.
|
62
|
MKURANGA
|
MWARAMI SHAHA MKETO (CUF)
|
SAID MOHAMED KUBENEA (CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
63.
|
CHIROMBOLA
|
FUNDI
YAHAYA CHUMA
|
MGUBA
HILGAD ITATIRO
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa
Msimamizi wa Uchaguzi.
|
64.
|
MKONGOTEMA/ MADABA
|
OSWARD P. NJIKU
|
VITUS M. MFIKWA
|
Tume
imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na imemrejesha
mgombea kugombea udiwani katika kata
ya Mkongotema.
|
65.
|
CHIKUNJA/
NDANDA
|
KASTOR
JOSEPH MMUNI –(CHADEMA)
|
OMARI
MOHAMED MKOKO-(CCM)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa
Msimamizi wa Uchaguzi.
|
66.
|
NKINGA/MANONGA
|
SALI
ALPHONCE LWAMBO (ACT-WAZALENDO)
|
ISACK
GILBERT KIBONA- (CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa
Msimamizi wa Uchaguzi.
|
67
|
KILINDI
|
MOHAMEDI S. LUGENDO- CUF
|
MOHAMED BAKARI MKOMWA-
CCM
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
68.
|
NYAMISANGURA/ TARIME MJINI
|
DIDAS NCHAMA MAKARANGA(ACT –WAZARENDO)
|
SAMWEL
NCHANGWA MAGOIGA (CCM)
|
Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na
kumrejesha mgombea Didasi
Nchana Makaranga kugombea kwenye Kata ya Nyamisangura.
|
69.
|
IGWACHANYA /WANG’INGOMBE
|
MHABUKA HENRY AMOS-(CHADEMA)
|
MAHWATA ANTHON EMANUEL (CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
70.
|
KEMAMBO
|
JOHN MASYAGA MANG”ERANYI
(CHADEMA)
|
BOGOMBA RASHID CHICHAKE(CCM)
|
Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na
imemrejesha Mgombea wa CHADEMA kugombea udiwani.
|
71
|
MAJENGO/MOSHI DC
|
MINJA PETER PANTALEO –(CHADEMA)
|
SABITIPA MWALIMU MCHOMVU – (CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
72
|
MOROGORO
JUU
|
EMIRY
ALPHONCE KIDEVU-(CCM)
|
YASSINI
KONDO KUNGWA-(CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa
Msimamizi wa Uchaguzi.
|
73
|
KYERWA/
RUTUNGURU
|
RICHARD
BURCHARD KABARA –(CHADEMA)
|
FRUGENCE
MUZORA FREDERICK – (CCM)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa
Msimamizi wa Uchaguzi.
|
74
|
MWEMA/TARIME
|
PETRUES JOSEPH ITAARA (CHADEMA)
|
NTOGORO PETER KURATE (CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
75
|
KITAJI/MUSOMA MJINI
|
FRANK DIONIS WABARE (CCM)
|
HAILE SIZZA TARAI (CHADEMA)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
75
|
UBENA/CHALINZE
|
MUYUWA NICHOLOUS GEORGE (CCM)
|
MHOKA AUGUSTINO EVARISTO (CHADEMA)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
76
|
UBENA/CHALINZE
|
MUYUWA NICHOLOUS GEORGE (CCM)
|
MGAMA ASHRAF ATHUMANI (ACT-WAZALENDO)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
77
|
BUJULA/WILAYA YA GEITA
|
KANIJO AMINA SWEDI
|
KONGEJA YOHANA MULELE
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
78
|
MBERE/ILEJE
|
CHAGHI ANDREA KALINGA
|
OMARI AMBILIKILE KAMENDU
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
79
|
HUNYARI/BUNDA
|
SUMERA KIHARATA MZUMARI (CCM)
|
MAKIMA HAMAROSI JOSEPHAT (CHADEMA)
|
Tume imekataa
rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
80
|
KEMAMBO/TARIME VIJIJINI
|
JOHN MASYAGA MENG’ENYA (CHADEMA)
|
BOGOMBA RASHID CHICHAKE (CCM)
|
Tume
imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
81
|
BOMANI/TARIME
|
MECCO KAZIMOTO KABILA (CHADEMA)
|
MASUBO GODFREY MICHAEL (CCM)
|
Tume
imekubali rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha
mgombea agombee Udiwani.
|
82
|
MADABA
|
OSWALD P. NJIKU (CHADEMA)
|
VISTUS M. MFIKWA (CCM)
|
Tume
imekubali rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha
mgombea agombee Udiwani.
|
No comments:
Post a Comment