WAUMINI wa dini ya Kiislam nchini kote jana waliungana na waumini wenzao duniani kote kusherehekea sikukuu ya Idd El Hajj.
Katika
kusherehekea sikukuu hiyo, ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar
Live uliopo Mbagala-Zakhem jijiniDar es Salaam, kulikuwana tamasha
lililotambulishwa kama ‘Amerudi Night’ ambapo kikundi cha Masai Warriors
waliwapagawisha watoto kwa kuonesha michezo mbalimbali ikiwemo
sarakasi, kuchezea baiskeli na michezo mbalimbali.
NA DENIS MTIMA/GPL
No comments:
Post a Comment