Sunday, September 20, 2015

Dkt. Shein Azindua Mradi wa Umeme kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba leo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Mradi wa Umeme kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo  Mkoani humo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibonyeza kitufe   kuzindua Mradi wa  Umeme kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo  Mkoani humo
 Kikundi cha ngoma kutoka Mkoa wa Kusini pemba kikitumbuiza ngoma ya Gonga wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa  Umeme kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo uliozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo  Mkoani humo
 Wananchi wa kijiji cha Kisiwa Panza na Vijiji vya Chokocho na Mkanyageni wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa  Umeme kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo uliozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo  Mkoani humo
 Baadhi ya wananchi na wazee wa Kisiwa Panza wakifuatilia kwa makini harakati za ratiba ya Uzinduzi wa Mradi wa Umeme katika Kijiji hicho kiliopo Mkoa wa Kusini Pemba uliozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo  Mkoani humo
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Pemba wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi katika uzinduzi wa Mradi wa  Umeme katika kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo  Mkoani humo
 Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban akizungumza na wananchi wa kisiwa Panza ili amkaribishe Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein     kuzungumza na Wananchi katika uzinduzi wa Mradi wa  Umeme katika kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo  Mkoani humo
 Mradi wa  Umeme katika kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani. Mkoa wa Kusini Pemba, ulipozinduliwa leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi katika uzinduzi wa Mradi wa  Umeme katika kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo  Mkoani humo. 
Picha na Ikulu.
 

No comments: