Rais wa VICOBA Endelevu, Devota Likokola,
(Watatu kushoto), akinyanyua juu, mfano wa ATM kadi ya Benki ya Posta Tanzania,
TPB, wakati wa uzinduzi wa kadi hiyo itakayotumiwa na wanachama wa VICOBA
Endelevu kota nchini. Uzinduzi huo ulifanyika leo Agosti 15, 2015 kwenye bustani
ya kumbukumbu ya mashujaa, Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB, Moses
Manyanta, Mwenyekiti wa Bodi wa Wadhamini ya Benki hiyo, Profesa Lettic
Rutashobya, na Katimu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezweshaji Wananchi
Kiuchumi, NEEC, Beng’ Issa.(Picha na Habari na K-VIS MEDIA)
Wana VICOBA Endelevu wakiingia kwenye bustani hiyo kwa maandamano
MWENYEKITI wa Bodi hya Wadhamini ya Benki ya Posta Tanzania, TPB, Profesa Lettic Rautashobya, (katikati), Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB, Moses Manyanta, na Meneja Mkuu wa TPB anayeshughulikia masuala ya kampuni, Noves A. Moses
Profesa Lettic, na Katibu Mtendaji wa NEEC, Beng' Issa, wakitembelea shughuli za wajasiriamali ambao ni wanachama wa VICOBA Endelevu
Profesa Rutashobya, akizungumza na waandishi wa habari
Beng' akizungumza na waandishi wa habari
WAELIMISHAJI kuhusu shughuli za ujasiriamali wa VIDOBA Endelevu, wakipozi kwa picha
No comments:
Post a Comment