Wakulima wa mazao ya Chai, Kahawa na Misitu katika halmashauri ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa watakiwa kujenga utamaduni wa kuchangamkia fursa za uwekezaji. http://youtu.be/VXZxX0kbHys
Serikali ya Tanzania inayotarajiwa kuundwa baada ya uchaguzi mkuu wa oktoba 2015 yaombwa kuweka mkazo katika elimu ya uraia. http://youtu.be/WhHDLHJDtdw
Waendesha Bajaj wa wilayani Babati mkoani Manyara waahidi kutolipa mapato kwa mamlaka ya mapato Tanzania hadi malalamiko yao yatakaposikilizwahttp://youtu. be/8FXaRCr4nCY
Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom yasema itaendelea kutanua huduma zake hapa nchini kwa kutoa huduma bora na za kisasa. http://youtu.be/OGul3u3ylpE
Wanawake wenye ulemavu wa viungo hapa nchini wasema pamoja na kuongezwa majimbo ya uchaguzi bado wamekosa fursa ya kuongezewa uwakilishi bungeni. http://youtu.be/7Fj4uHXE0D8
Timu ya taifa ya wanawake Tanzania Twiga stars yatarajia kuanza kucheza mchezo wake wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Kenya Harambee starlets. http://youtu.be/HK3jkWD0aoM
Mshambuliaji mpya wa Manchester City Raheem Starling mbali na kutofunga hata goli mmoja katika mechi ya jana bado alishangiliwa sana na mashabiki wa timu hiyo. http://youtu.be/NvaQIYnxCH0
Timu ya jeshi JWTZ yakabidhiwa bendera ya taifa tayari kushiriki mashindano ya majeshi kwa nchi za Afrika Mashariki yatakayofanyika Kampala Uganda. http://youtu.be/1GPafZCq3lI
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro atoa wito kwa wananchi mkoani humo kujiepusha na matumizi makubwa ya fedha katika uchaguzi mkuu ujao http://youtu.be/NUI5Qe0Kqyg
Mwenyekiti wa Chadema taifa Freeman Mbowe, awatoa hofu watanzania juu ya afya yake baada ya hapo jana kuzidiwa na kkukimbizwa hospitali http://youtu.be/FIJ3pqHVvFQ
Mradi mkubwa wa umwagiliaji waanza kuwanufaisha wakulima wa katika bonde la Uyole mkoani Mbeya amabapo miundo mbinu yake imejengwa na serikali. http://youtu.be/jpkQM-n-Bls
Bei ya baadhi ya bidhaa katika soko la Kariakoo jijini Dar es salaam yashuka kutokana na uapatikanaji kwa wingi wa bidhaa hizo.http://youtu.be/pua247gJ-jY
Hofu ya ugonjwa wa Ebola yatanda Mkoani Kigoma baada ya mkimbizi mmoja katika kambi ya Nyarugusu kufariki dunia kwa ugonjwa huo. http://youtu.be/aKFdTRqAzmI
Serikali kupitia wizara ya elimu iko mbioni kukamilisha ujenzi wa majengo katika ngazi ya elimu ya juu ulio gharimu dola za kimarekani milioni 92. http://youtu.be/TG57aDbLTcg
TCRA imetoa onyo kwa watumiaji wa mtandao kuacha kutuma ujumbe wenye uchochezi katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu pamoja na makosa mengine. http://youtu.be/8-GfMO3djSQ
Ajali ya moto yateketeza bweni la wasichana katika shule ya Mt.Peter iliyoko mkoani Tabora huku wanafunzi kadhaa wakijeruhiwa na kuzimia. http://youtu.be/8SUvitfY5dw
Serikali ya Tanzania imesema inafanya kila iwezalo ili kuwaokoa masheikh wa dini ya Kiislam waliotekwa na waasi nchini Congo.http://youtu.be/xc9bv-dIsJ0
Wavuvi wafanyao kazi zao ndani ya ziwa Victoria mkoani Mwanza waiomba serikali kuimarisha ulinzi ili kukomesha vitendo vya ujambazi vinavyo athiri amani na uvuvi ndani ya ziwa hilo. http://youtu.be/OuQcymIRT8g
Katika hali ya kushangaza binti mmoja mkoani Mwanza asusiwa msiba wa mwanawe na kufukuzwa katika nyumba aliyokuwa akiishi na kupelekea msiba kuhamishiwa uwanjani. https://youtu.be/YykBBVyp0fc
No comments:
Post a Comment