Monday, August 10, 2015

SIMU TV: HABARI ZA USIKU HUU

Kuelekea maadhimisho ya siku kuu ya vijana duniani tamasha la vijana lafanyika ili kuwafanya washiriki katika mambo mbalimbali ya kijamii. https://youtu.be/Yxiun4F0eKc

Ofisi ya CAG yabaini mapungufu katika halmashauri ya Morogoro vijijini huku uongozi wa Mkoa ukitaka mawasilisho ya matumizi ili yaweze kukaguliwa. https://youtu.be/REN7f1hbnEQ

Mahakama kuu ya mkoa wa Mbeya yaanza vikao vyake hii leo ili kusikiliza kesi 45 za rufaa na kuzitolea maamuzi ifikapo September. https://youtu.be/0AD97CV-R8c

Kada wa CCM Dr.Magufuli awataka wana ccm kutokuwa na hofu juu ya wanaohama chama hicho huku akisema hizo ni dalili za ushindi kwa CCM. https://youtu.be/23gA6B1dR2I

Kada wa CCM Dr.Magufuli awataka wana ccm kutokuwa na hofu juu ya wanaohama chama hicho huku akisema hizo ni dalili za ushindi kwa CCM http://youtu.be/1uJwbbneeFw

OSHA yazionya ofisi nyingi zinazofanya kazi zake nchini zikiwemo za umma kufuatia kufanya kazi zake bila kusajiliwa.http://youtu.be/l3LsmF9LLx0

TACRI yawataka wakulima wa Kahawa nchini kupima udongo kabla ya kuanza kilimo ili kuweza kuongeza  uzalishaji.http://youtu.be/NQE_6TT7a7Q

Raisi Kikwete aipongeza benki kuu kwa kazi kubwa inazozifanya katika kusimamia sekta ya fedha na kukuza uchumi wa nchi.http://youtu.be/J_e3rPBp_9c

Serikali yakanusha taarifa zilizo zagaa mitaoni kuwa Makamo wa raisi anataka kukihama na kusema ni uzushi jambo ambalo si la kufumbia macho. http://youtu.be/0eIyyNzlzsE

Wavuvi katika visiwa vinavyozunguka ziwa Victoria katika manispaa ya bukoba waanza ujenzi wa vyoo vya kisasa ili kukabiliana na magonjwa ya mlipuko. http://youtu.be/tYsW61sB1PE

Mfumuko wa bei nchini waelezwa kupanda na kuongezeka kutokana na kupanda kwa bei ya bidhaa mbalimbali za kijamii.http://youtu.be/RbeAfJOjZb0

Kwa mara ya kwanza wanaharakati duniani wameungana kupitia mitandao ya kijamii katika kuadhimisha siku ya simba anayejulikana kama mfalme wa pori http://youtu.be/Br5es7JQ2Cw

Ajali ya moto yateketeza mali na maduka ya wafanya biashara wa soko la mkoa wa Morogoro huku wananchi wakiitupia lawama TANESCO. http://youtu.be/dH1Q2SbmPzY

No comments: