Saturday, August 22, 2015

SIMU TV: HABARI TOKA VITUO VYA TELEVISHENI

Jeshi la polisi nchini lavitaka vyama vya siasa nchini kuzingatia sheria katika kipindi hiki cha kuelekea kuanza kampeni hapo kesho. https://youtu.be/WfRfwYe31-A

Makamo wa raisi Dr. Bialali awaasa watanzania kuwafichua wale wote wanao jihusisha na biashara haramu. https://youtu.be/1LyBm3lFA1A

Jeshi la polisi visiwani Zanzibar lasema limejipanga vyema kuimarisha amani,ulinzi na usalama katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa october.https://youtu.be/KDc38jy5TkU


Mkuu wa mkoa wa Manyara atembelea kaya maskini zilizonufaika na mfuko wa TASAF katika kuhamasisha wananchi kujiunga na bima ya afya. https://youtu.be/JhezJiurxgk

Mtandao wa jinsia TGNP wavipongeza vyama vya siasa nchini vilivyo wateua wanawake kuwania uongozi katika ngazi za juu za uongozi. https://youtu.be/MRf-g8G96pU

Wananchi wa wilaya ya Kisahapu mkoani Shinyanga wahakikishiwa kunufaika na mradi wa maji ya ziwa Victoria kufuatia zoezi la kutandaza mabomba kuanza.https://youtu.be/RP69-OY5Cyw


Raisi Kikwete aitupia lawama mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai ICC, kwa kile alichodai kukosekana kwa usawa katika utendaji. https://youtu.be/s0rXvbjJvb8


Mkuu wa mkoa wa Morogoro awataka wananchi mkoani humo kuchukua tahadhari ya kujikinga na tishio la ugonjwa wa Kipindupindu. https://youtu.be/uTOhhs8r-dQ

Mgao wa umeme unaendelea katika maeneo mbalimbali nchini waathiri shughuli mbalimbli za uzalishaji Mkoani Mwanza huku baadhi ya wafanyakazi wakipewa likizo.https://youtu.be/pM7Y8OJ0NaY

TCRA yasema inajipanga kuzifungia baadhi ya televisheni nchini zinazoendelea kurusha matangazo yao katika mfumo wa Cable. https://youtu.be/03VC1HbjS-A

Tume ya taifa ya uchaguzi inatarajiwa kutangaza rasmi ratiba ya kuanza kampeni za uchaguzi ili wananchi wapate kuwa fahamu zaidi viongozi.https://youtu.be/MVbogqzFcnY

Wachimbaji wadogo mkoani Geita watakiwa kuandaa mazingira ya kuwa na umoja utakao wasaidia kuweza kupata usajili na hatimaye leseni za uchimbaji.http://youtu.be/0-M-cippRCc


Wagombea wa nafasi mbalimbali ikiwemo ubunge na udiwani warejesha fomu zao za kuomba kuteuliwa ili kupata ridhaa ya kuwatumikia wananchi.https://youtu.be/JGS3DPLhuss

Polisi nchini yavipiga marufuku vyama vya siasa kumiliki vikundi vya ulinzi kuelekea uchaguzi mkuu huku likidai vinaingilia kazi zake.  https://youtu.be/uAT8lQQGzp0

Serikali wilayani Lindi yawahakikishia Usalama wananchi wakati wote wa kampeni kwa vyama vyote ili kuhakikisha uchaguzi huru na haki. https://youtu.be/law7i1uxL4g

Serikali ya Tanzania yasema itashirikiana na nchi nyingine katika mapambano ya kudhibiti biashara haramu ya usafirishaji wa Binadamu.https://youtu.be/dmPaHwZekpE

Sheikh Mkuu wa Tanzania awataka waislamu na watanzania kuhakikisha wanafanya kampeni kwa utulivu na amani ili kuhakikisha nchi inabaki salama .https://youtu.be/OsF8lFxj9Vc
  
Mjukuu wa raisi Nelson Mandela atuhumiwa kwa ubakaji nchini Afrika Kusini huku akiwekwa rumande toka wiki jana. https://youtu.be/ckd0JJzlgyM

Wanawake nchini Saudi wafurahia kupata nafasi ya kupiga kura na kuwania nafasi katika uongozi kwa mara ya kwanza nchini humo. https://youtu.be/tF0I7_m-Jak

Mwalimu mmoja mwenye Ulemavu adhibitisha licha kuwa mlemavu wa viungo inawezekana kukabiliana na changamoto za maisha. https://youtu.be/YFTVvQrmgUA

No comments: