Sunday, August 16, 2015

SIMU TV: HABARI TOKA VITUO MBALI MBALI VYA TELEVISHENI

SIMUTV: Kuwepo wa wimbi kubwa la vijana wasio na ajira nchini kwaelezwa kuwa chanzo kikubwa cha ongezeko la vitendo vya kuhalifu nchini.http://youtu.be/A_FNnv_5zj4                                                                                                    

SIMUTV: Ongezeko la wagonjwa wa Malaria na UTI kwa wananchi waishio vijijini na uchache wa madakatari kwa elezwa kuwa moja ya sababu kubwa zinazo chazngia wananchi kukimbilia kwa waganga wa tiba za jadihttp://youtu.be/FP22nE0Y3CE

SIMUTV: Takribani vijiji 32 wilayani Kilombero Mkoani Morogoro vinatarajiwa kunufaika na mpango wa kunusuru kaya maskini ulioko chini ya TASAF.http://youtu.be/bnhu6AFaEjI      

SIMUTV: Kisomo cha watu wazima bado kinakabiliwa na changamoto kufuatia baadhi ya watu kuhisi aibu kusoma masomo yanayosomwa na watoto au wajukuu zao.http://youtu.be/C528dlOHXNU                                                                                               

SIMUTV: Wizara ya kazi na ajira yaanziasha mfuko maalum wa fidia kwa wafanyakazi ambao utachangiwa na waajiri bila kukata mshahara wa mwajiriwa.http://youtu.be/OOMAfpbh530                                                                                  

SIMUTV: Mgombea Uraisi kupitia CCM Dr.Magufuli aihakikishia halimashauri kuu ya chama hicho NEC kuwa ushindi kwao ni lazima.  http://youtu.be/06flZ0f3TCA                           

SIMUTV: Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini NEC,yatangaza kusongezwa mbele ratiba ya ukaguzi wa daftari la wapiga kura kwa mkoa wa Dar es salaam.http://youtu.be/2HEg_Qj9RaI                                                                             

SIMUTV: Watanzania waishio nje ya nchini Diaspora, watakiwa kuwekeza katika miradi mbalimbali ya maendeleo nchini ili kukuza uchumi wa taifa.    http://youtu.be/i7Ybft_vuCk

SIMUTV: Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaendesha mdahalo juu ya umuhimu wa maadili katika kuhimarisha amani,umoja na haki kuelekea uchaguzi mkuu.http://youtu.be/ninEjtEbfqc

SIMUTV: Wakazi wa jiji la Dar es salaam huenda wakaondokana na adha ya usafiri baada ya kutangaza kuzinduliwa kwa mabasi ya mwendo kasi hapo kesho.http://youtu.be/wvTMCZD4Wiw

SIMUTV: Wananchi wa Kigoma wailalamikia serikali kwa kushindwa kuifanyia ukarabati wa meli ya Mv Liemba kufuatia uchakavu wa melio hiyo. http://youtu.be/ZycesnasCh0

SIMUTV: Umoja wa Wanajeshi wastaafu wa JWTZ mkoa wa Manyara waiomba serikali ngazi ya mkoa kuwataka viongozi wa ngazi za chini kuacha kuwanyanganya mali zao pindi washindwapo kuchangia michango mbalimbali katika meneo wanayo ishi.http://youtu.be/lZPet5s9LB8

SIMUTV: Wakazi wa Gongo la Mboto waondokana na adha ya umeme iliyodumu kwa wiki moja baada ya kukosa huduma hiyo na kusababisha adha.http://youtu.be/wIqXpfiwzfE

SIMUTV: Waziri wa nishati na madini Simbachawene,amuagiza kamishina wa madini nchini kufanya ukaguzi wa migodi ya Tanzanite ili kubaini wachimbaji wanaokwepa kodi  http://youtu.be/sLydhDu5sR0

SIMUTV: Katika kuadhimisha siku ya unyonyeshaji nchini,jamii yatakiwa kuhakikisha akina mama wanapatiwa lishe bora wakiwa wajawazito na mara baada ya kujifungua.http://youtu.be/SJcqdWw9KQk

No comments: