Thursday, August 27, 2015

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

NEC yatoa wito kwa wanasiasa kuepuka kauli za uchochezi kipindi hiki cha kampeni ili kulinda amani ilyopo kuelekea uchaguzi mkuu oktoba 25.http://youtu.be/Wmiq_D3nxJ8     

Magufuli asema iwapo atapata ridhaa ya kuiongoza nchi atahakikisha mji wa Tunduma unapanda hadhi kutokana na mchango wake katika uchumi wa taifa.http://youtu.be/iq3rQyeEjlY

 Mgombea mwenza kupitia CCM asema kama wananchi watawachagua watahakikisha kero za wananchi wa Hai na Siha zinamalizika.http://youtu.be/8030c5zRF70  

Shirika la utangazaji Tanzania TBC lajipanga kikamilifu na kuahidi kutoa haki sawa kwa vyama vyote vya siasa wakati huu wa kuelekea uchaguzi mkuu.http://youtu.be/GWq094X4YW4    

Tanzania imo katika orodha ya mataifa kumi Afrika yanayoongoza kwa kuwa na pato kubwa la taifa kwa mujibu wa benki ya dunia.http://youtu.be/n4daHyYefFs    

Biashara ya matunda jijini Dar es salaam yadorora baada ya wakazi wengi kuogopa kununua matunda kutokana na mlipuko wa kipindupindu.http://youtu.be/YormVcoPtWA     

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda azishauri taasisi za fedha kuangalia uwezekano wa kupunguza viwango vya riba za mikopo hususan mikopo ya nyumba.http://youtu.be/z4Yj8XQNWQQ

Vyama vinavyounda UKAWA vyalalamikia katazo la polisi kwa wanasiasa kutembelea wananchi  wakisema ni kukandamiza demokrasiahttp://youtu.be/M3YmW4f2AnM     

Raisi wa Zimbabwe Robert Mugabe akumbana na kadhia baada ya kuzomewa na wabunge wa upinzani wakati akihutubia bungeni.http://youtu.be/lcuqOsVHghE    

Mgombea Uraisi wa CCM Dr.Magufuli ahaidi kumaliza kero za mji wa Tunduma na kuufanya mji wa kisasa huku akihaidi kumaliza tatizo la maji.http://youtu.be/mXtS1AKILvY

Kituo cha mafuta chanusurika kuteketea kwa moto baada ya kutokea mlipuko kufuatia hitilafu ya umeme katika kituo hicho mkoani Mwanza.http://youtu.be/Yr7U7g7RzTI

Cha cha ACT Wazalendo chaipa polisi siku 7 kushughulikia madai yao baada ya kutoa tuhuma za kuhujumiwa kufuatia kuchanwa kwa bendera zao.http://youtu.be/F-CZhhrM6r8   

 Ukosefu wa maadili kwa makuzi ya watoto nchini waonyeshwa kuchagizwa na mambo kadha wa kadha ikiwemo ukosefu wa malezi bora.http://youtu.be/zoEU5RA_lF0  

Baraza la wanawake CHADEMA lawataka wananwake wote nchini kuchagua viongozi bora ili kuwaletea maendeleohttp://youtu.be/3Fr0wrDCLuA

No comments: