Thursday, August 13, 2015

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO

Wizara ya afya na ustawi wa jamii yawatoa hofu wananchi kutokuwepo ugonjwa wa ebola nchini huku ikiwataka wananchi kujikinga na ugonjwa wa ebola pamoja na magonjwa mengine ya kuambukiza.http://youtu.be/p8zbtXHv428

Wananfunzi wa shule yaMsingi Mseto mkoani Geita waeleza adha wanayopata kufuatia madarasa yao kuezuliwa na mvua mwezi wa pili na kushindwa kuezekwa hadi leo. http://youtu.be/_Mm1l0nNaT0

Vyama vinavyo unda UKAWA vya saini makubaliano yatakayo wezesha kupata wagombea wa uongozi katika uchaguzi wa October mwaka huu. http://youtu.be/bQayrfCX5bY

Mkazi mmoja aliyejifungua mapacha 3 aomba msaada toka kwa wasamalia wema baada ya mmewe kumtekeleza.http://youtu.be/6d59CkVBwhE

Utolewaji holela wa vibali vya kuvunia misitu pamoja na shughuli mbalimbali za kibinadamu vyaelezwa kuhatarisha kutoweka kwa rasilimali hiyo. http://youtu.be/ms306ZQ6iu0

Nchi za makao makuu zakutana kujadili juu ya uanzishwaji wa maabara za utambuzi wa madini kufuatia changamoto ya utoroshwaji wa rasilimali. http://youtu.be/88DDqKLke-Y

Mkuu wa mkoa wa Kagera awaagiza viongozi na watendaji mkoani humo kuwachukulia hatua kali wale wote wasiozingatia matumizi sahihi ya vyandarua. http://youtu.be/0evmoKfcEdQ

Vikao vya halimashauri kuu ya CCM vyamalizika mjini Dodoma huku kazi ya kupitisha wagombea ikikamilika .http://youtu.be/7Yvd6mocks8

Taharuki yawakumba wanafunzi na wakazi katika manispaa ya Bukoba kufuatia kuanguka na kuzimia kwa wanfunzi katika shule ya sekondari ya Amgembe. http://youtu.be/NxCKYP003NY

Jeshi la polisi jijijni Dar es salaam lawatia nguvuni watu 3 kwa tuhuma za ujambazi na uvamizi wa vituo vya polisi.http://youtu.be/rQjVuFqc-og

Mazishi ya mwasisi wa TANU Peter Kisumo yafanyika huko Kilimanjaro huku yakihudhuriwa na viongozi pamoja na wananchi mbalimbali. http://youtu.be/70JoqA0Yl88

Bernad Membe asisitiza uraia pacha kwa wananchi waishio ughaibuni kupatiwa uraia pacha kama njia ya kuhimarisha ushirikiano. http://youtu.be/2QxFZXfr17Y

TCRA yatoa adhabu kwa kituo cha ITV kwa tuhuma za kutoa habari za uchechezi baada ya kurusha habari iliyokiuka kanuni za utangazaji http://youtu.be/YAMcWSVp_Ik

No comments: