Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu
akimuelekeza jambo Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally
Idd, ambaye alitembelea makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa kujua
utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo, anayeshuhudia ni Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi.

Makamu
wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd na Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi wakiangalia
baadhi ya mabango walipotembelea makao makuu ya Shirika la Nyumba la
Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo.
Bwana Mohamed Sharif, Mtanzania ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Mradi wa
Dubai Sports City, akisalimiana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo
ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi, huku Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na Makamu wa pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ally Idd wakiwasikiliza.
Bwana Mohamed Sharif, Mtanzania ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Mradi wa
Dubai Sports City akimueleza Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi
Seif Ally Idd namna ujenzi wa jiji la la kisasa la NHC litakaloanza
kujengwa Usa River, Arusha.
Makamu
wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd na Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi wakiangalia
baadhi ya mabango walipotembelea makao makuu ya Shirika la Nyumba la
Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo.
Kaimu
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye
Mwambusi akimwelekeza jambo Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi
Seif Ally Idd huku Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
William Vangimembe Lukuvi na Bw Mchechu wakishuhudia.
No comments:
Post a Comment