Viongozi wakimsubiri Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM awasili katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam kuzindua rasmi kampeni za Urais
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikweye akiwasili katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam kuzindua rasmi kampeni za Urais
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikweye akiwasili katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam kuzindua rasmi kampeni za Urais
Nyomi ikilipuka wakati Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikweye akiwasili katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam kuzindua rasmi kampeni za Urais
Nyomi ikilipuka wakati Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikweye akiwasili katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam kuzindua rasmi kampeni za Urais
Wasanii wakitumbuiza
Sehemu ya nyomi ya CCM Jangwani
Nape Nnauye akiweka mambo sawa
Wake wa viongozi
Nyomi
Nyomi balaa
Yamoto Band wakipasha moto
Meza kuu
Ni raha sanaaaaaaa....
wafurukutwa wa CCM
Dah!
Raha tupu
Bushoke na kundi lake
Kiongozi wa wafanya biashara ndogo ndogo masokoni akinena
Nyomi ikisikiliza
Nyomi
Kiongozi wa waendesha bodaboda akieleza mambo yao
Hakuna hata pa kutemea mate
Wanahabari kazini
Kila hatua ilirekodiwa
Tooba
Mwakilishi wa walemavu akisalimia meza kuu
Nyomi
Mhe Shyrose Bhanji akirekodi
Wanahabari
Nyomi si ya mchezo
Makongoro Nyerere akisalimia meza kuu
Makongoro Nyerere akisalimia meza kuu
Makongoro Nyerere akisalimiana na Mzee Yusuf Makamba
Meza kuu
Viongozi wastaafu
Wafurukutwa
Jaji Joseph Sinde Warioba akielekea jukwaani kwa vifijo
Jaji Joseph Sinde Warioba akiinadi ilani ya uchaguzi
Nyomi na vifaa vya kisasa
Jaji Warioba akisalimia meza kuu
Jaji Warioba
Makamu wa Mwenyekiti wa CCM na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein Akielekea jukwaani kusalimia nyomi
Makamu wa Mwenyekiti wa CCM na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein akisalimia nyomi
No comments:
Post a Comment