| Hapa akiwasili katika ofisi za mtendaji wa kata ya Kinondoni katika usafiri wa pikpiki. |
Akiwa ameambatana na wapambe wake waliokuwa wamepanda bodaboda
| Akisalimia baadhi ya watu waliokuwa eneo la tukio. |
| Kalapina aka nabii akihesabu pesa za kulipia fomu ya udiwani kabla hajaingia katika ofisi ya msimamizi wa uchaguzi kata ya Kinondoni. |
| Washabiki wa Karama Masoud wakiamsha amsha nje ya ofisi za mtendaji. |
| Karama akipokea fomu za kugombea udiwani toka kwa Bibi Ikunda Lyimo, anayetazama kulia ni katibu kata tawi la Kinondoni wa ACT Bw Johnson Kapi. |
| Wakisikiliza kwa makini msimamimizi wa uchaguzi akitoa maelekezo ya jinsi ya kujaza fomu za udiwani. |
| Mwandishi wa gazeti la DIRA Bi Rachel Gabagambi akimuhoji Kalapina aka Nabii baada ya kuchukua fomu. |
| Shangwe barabarani baada ya kuchukua fomu. |
Picha na habari na Mkala Fundikira wa Keronyingi blog
No comments:
Post a Comment