Wednesday, July 1, 2015

Taarifa mbali mbali kutoka vituo mbalimbali vya televisheni na simu tv

TBC
SIMUtv:  Hatimaye kilio cha muda mrefu cha Madiwani  kuboreshewa maslahi yao katika Halmashauri chafika Bungeni.   https://youtu.be/3sVHY1JADuQ
SIMUtv:  Mh Charles Mwijage akijibu swali juu ya mgawanyo wa mapato kwa Halmashauri ya Kilwa kutokana na mradi wa gesi wa Songosongo.   http://youtu.be/HRRHmSttR9o

SIMUtv:  Mbunge wa Kasulu Mosesi Machali ahoji juu ya uhaba wa vifaa vya umeme wilayani Kasulu ambayo bado ni changamoto katika wilaya hiyo    http://youtu.be/S3ql_3iHYG8

SIMUtv:  Kasi ya magonjwa ya moyo kwa watoto nchini inazidi kuongezeka, je wafahamu dalili za magonjwa hayo na jinsi ya Kujikinga mapema?     http://youtu.be/YeLaWV7ukBw

SIMUtv:  Mbunge ahoji juu ya ujenzi wa vituo vya Mizani ya kisasa katika barabara mbalimbali nchini ili kuondoa kero ya foleni kwa mabasi ya abiria.   https://youtu.be/11yaepetaWc

SIMUtv:   “Tunafikiria hata kutengeneza nguzo za zege”  hii ndio kauli ya Mh Mjijage baada ya kubanwa juu ya uhaba wa nguzo nchini. Fahamu zaidi kupiitia SimuTv.   http://youtu.be/QvpHIIi-YDg

SIMUtv:  Serikali yaahidi kuendelea  kubatilisha milki za mashamba na viwanja visivyoendelezwa na wamiliki wake.  http://youtu.be/aIZynvRzgqo
SIMUtv:  Naibu Waziri wa ulinzi Mh Kasim Majaliwa atoa somo kwa Watanzania juu ya jeshi la zimamoto. Kujua undani wake Fuatilia hapa SimuTv.    http://youtu.be/ItroxZdteYw
Uongozi wa mabigwa wa soka nchini Yanga umethibitisha kumsajili kihalali mchezaji Geofrey Mwashuya kutokaKimondo FC ya mbeya.  https://youtu.be/cYGXZTeWWOw
Watuhumiwa wanne mkoani mbeya wamehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kufanya mauaji ya Mlemavu wa ngozi   http://youtu.be/_hXJgsMGqiI
SIMUtv:  Chile imefanikiwa kutinga  fainali za Copa Amerika baada ya kuifunga Peru bao 2-1 katika mechi ya nusu fainali mjini Santiago.   http://youtu.be/URSePAX6_ho


No comments: