Friday, July 24, 2015

SIMU TV: HABARI TOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMUTV:Wakulima zaidi ya 100 wilayani Mbarari mkoani Mbeya waondokana na adha ya kutegemea kilimo cha mvua baada ya kujengewa mradi wa skimu ya umwagiliaji. http://youtu.be/zhqKCiQMGB0
 SIMUTV:Raisi wa Marekani Barack Obama awasili nchini Kenya katika ziara yake nchini humo kwa siku 3 huku ikiwa ndio nchi ambayo ni asili yake. http://youtu.be/UCJXOmCiQ0E
 SIMUTV:Chanjo ya kwanza ya malaria yaruhusiwa hii leo kuanza kutumika kutoka kwa wasanifu wa madawa barani Ulaya huku ikiwa ni ya kwanza kwa ajili ya matumizi ya binadamu. http://youtu.be/bjZRNCyfPNs
 SIMUTV:Chanjo ya kwanza ya malaria yaruhusiwa hii leo kuanza kutumika kutoka kwa wasanifu wa madawa barani Ulaya huku ikiwa ni ya kwanza kwa ajili ya matumizi ya binadamu. http://youtu.be/bjZRNCyfPNs
 SIMUTV:Msajili wa vyama vya siasa nchini awataka wanasiasa kutoingilia mchakato wa uadikishaji BVR.http://youtu.be/zzkTYtgmRrk
 SIMUTV:Mtandao wa kutetea haki za binadamu wabaini kuwa sheria ya uchaguzi ndio chanzo kikubwa cha migogoro na machafuko nchini. http://youtu.be/c_PUg5KDDgU
 SIMUTV:Wafuasi wa CHADEMA mkoani Geita wafunga ofisi za jimbo wakidai kutoridhishwa na kura za maoni huku wakisema rushwa zilitawala na kuapa kuzichoma ofisi. http://youtu.be/udK8C7Baaf0
 SIMUTV:Wafuasi wa CHADEMA Geita wafunga ofisi za jimbo wakidai kutoridhishwa na kura za maoni huku wakisema rushwa zilitawala na kuapa kuzichoma ofisi. http://youtu.be/udK8C7Baaf0
 SIMUTV:Serikali imeombwa kubadili njia ya kuwaenzi mashujaa tofauti na ilivyozoeleka kwa kuweka mashada kwenye minara ya kumbukumbu. http://youtu.be/gaSfYfDida0
 SIMUTV:Serikali imeombwa kubadili njia ya kuwaenzi mashujaa kama ilivyozoeleka  kuweka mashada kwenye minara ya kumbukumbu. http://youtu.be/gaSfYfDida0
 SIMUTV:Mahabusu 3 wafariki dunia mkoani Mwanza baada ya kutaka kupora askari silaha wakati wakipelekwa mahabusu huku mmoja wao akitoroka.http://youtu.be/3c_VEmDyrgE                               
 SIMUTV:Jaji aliyekuwa anasikiliza rufaa ya mawazili wa zamani Basili Mramba na Daniel Yona ajitoa kwa kudai ana maslahi kwa kesi hiyo kwa mmoja wa warufani.http://youtu.be/Qps6KuMh2A0                                        
SIMUTV:Kituo cha haki za binadamu LHRC chafungua kesi ya kikatiba kwa niaba ya mwananchi 1 anayetoka Zanzibar kufuatia kutoridhishwa na mwenendo wa kura za maoni.http://youtu.be/QfI7ETE-oOM                                
SIMUTV:Watoto 18 waliopelekwa India kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya moyo warejea nchini baada ya afya zao kuimarikahttp://youtu.be/jF9eEKieWHc      
 SIMUTV:Uchaguzi wa CHADEMA mkoani Mtwara wavunjika baada ya kuibuka tafrani kufuatia baadhi ya wawania uongozi kupinga mchakato. http://youtu.be/B-K_S1H9dR8

No comments: