SIMUTV:Mzozo waibuka wakati wa utiaji saini maadili ya uchaguzi Zanzibar kwa kile kilichodaiwa ni kukosekana kwa uwakilishi wa CCM na Polisi. http://youtu.be/NafxG0hfLig
SIMUTV:Katika hali ya kushangaza mtu mmoja aliyetuhumiwa kwa wizi apanda ghorofani na kutishia kujirusha chini akipinga tuhuma juu yake. http://youtu.be/5IqqavGIr8I
SIMUTV:Utafiti wa shirika la TWAWEZA labaini kuwa licha ya Tanzania kutegemea kilimo, ni asilimia 2 pekee ya watanzania ambao wangependa watoto wao wafanye kilimo. http://youtu.be/pkV2-Ygn2OI
SIMUTV:Kituo cha sheria na haki za bindamu kimelaani tukio la kuvamiwa vituo vya polisi na uuaji wa polisi unaoendelea hapa nchini. http://youtu.be/cwC8_VzQJzc
SIMUTV:Vijana 30 wanaojiita timu Lowassa warudisha kazi za CCM na kujiunga na CHADEMA kwa madai ya kutoridhishwa na maamuzi ya CCM. http://youtu.be/XcG0TlU6ECA
SIMUTV:Ubovu wa miundombinu na nyumba za NHC waelezwa kuwa kero kwa wapangaji na wapiti njia hivyo kuhatarisha afya zao. http://youtu.be/syMcsg8eqzA
SIMUTV:Jeshi la polisi mkoani Arusha linawashikilia watu 2 kwa tuhuma za kuvuruga zoezi la uandikishaji wapiga kura kupitia BVR.http://youtu.be/JuSxp6ZisLA
SIMUTV:Shughuli za za kibinadamu zinazofanywa na watu wasio julikana zimeanza kuhujumu mkongo wa Taifa wa mawasiliano.http://youtu.be/RKJ6HdkFF-0
SIMUTV:Serikali kupitia wizara ya ardhi yakabidhi hati za kimila kwa wananchi wa kijiji cha IlalaSimba mkoani Iringa.http://youtu.be/CrM5WB0Eo0k
SIMUTV:Mgombea uraisi kupitia CCM Dr. Magufuli atambulishwa visiwani Zanzibar huku akihaidi kushirikiana na vyama vyote vya siasa. http://youtu.be/deERuJg1iY4
SIMUTV:Raisi Jakaya Kikwete aongoza vikao vya mapambano dhidi ya magonjwa ya mlipuko na kutoa ripoti kadhaa ya jopo analo liongozahttp://youtu.be/ XdPdlZzJxSo
SIMUTV:Madereva wa Malori,Mabasi na Dalala watishia kugoma endapo kamati iliyoundwa kutetea maslahi yao haitatoa majibu ya haraka kuhusu kuanza kutumika kwa mkataba wao.http://youtu.be/ uD5FrSUiR00
SIMUTV:Mgombea uraisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dr. John Magufuli atua Zanzibar kwa kishindo huku akipata mapokezi ya hali ya juu na kuahidi kudumisha umoja http://youtu.be/lpzgK39dzUE
SIMUTV:Wananchi nchini waaswa kutumia vifaa maalumu vya kulinda magari ili kupunguza wimbi la wizi wa magari linaloendelea hapa nchini. http://youtu.be/y6bbVVe93B4
SIMUTV:Wananchi nchini waaswa kutumia vifaa maalumu vya kulinda magari ili kupunguza wimbi la wizi wa magari linaloendelea hapa nchini.https://youtu.be/ y6bbVVe93B4
SIMUTV:Kampuni ya Vodacom yakabithi msaada wa vifaa vya tiba kwa hospitali 3 za rufaa jijini Dar es salaam kwa ajili ya matibabu ya watoto njiti nchini.https://youtu.be/_ zZPIqNhavc
No comments:
Post a Comment