Tuesday, July 14, 2015

SIMU TV: Baadhi Habari kutoka vituo vya Television mbalimbali

SIMUtv: Dar es salaam Kumlaki Magufuli ,huku mgombea huyo akitarajiwa kuhutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Mbagala Zakhiem leo; https://youtu.be/Mc_1YVMOLR8
SIMUtv: Wakazi wa mkoa wa Manyara washauriwa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kabla zoezi hilo kumalizika siku tatu zijazo; https://youtu.be/NL9Sw4gj3Bc
SIMUtv: Tume ya Taifa ya  Uchaguzi NEC yatangaza majimbo mapya 26 Tanzania bara huku majimbo mengine 10 yabadilishwa majina; https://youtu.be/jzv5xXchEnw
SIMUtv: Wazee na waasisi wa Chama Cha Mapinduzi wakumbukwa visiwani Zanzibar.Fuatilia zaidi hapa simutv;https://youtu.be/thgbvtYzJwE
 SIMUtv: Fahamu upande wa pili wa mgombea uraisi kwa ticket ya CCM Mh.Dkt John Pombe Magufuli hapa simutv;https://youtu.be/qiI2LpTGg_c
SIMUtv:  Jumla ya Filamu 16 za kitanzania zitaonyeshwa katika tamasha la ZIFF litakalofanyika Zanzibar huku filamu tatu kuonyeshwa Ulaya. https://youtu.be/l3buYPrbEIM
SIMUtv:  Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa amewataka watanzania kuthamini misaada ya serikali ili kupambana na changamoto za kiafya. https://youtu.be/nZGoV5OVB5o
SIMUtv: kituo cha mikutano cha kimataifa AICC kinatarajia kujenga jingo la mikutano mkoani mtwara kwa lengo la kutangaza utalii wa taifa. https://youtu.be/zphL9savl1w
SIMUtv: Ni kitendawili kinachoibua maswali kwa wananchi juu ya me Edward lowassa kujiung upinzani baada ya kushindwa  CCM, je ni kweli? Bofya https://youtu.be/4irdAjrDaro
SIMUtv: Kampuni ya VIP engeneering inatarajia kujenga kituo cha kimataifa cha magonjwa ya saratani mkoani Kagera ili kupunguza gharama . https://youtu.be/B77wY5scjgA

No comments: