CH10 NEWS
CCM,yasema haina kanuni wala utaratibu wa wagombea kukata rufaa endapo hawatateuliwa uraisi na kudai hakifanyi kazi kwa presha za mtu. http://youtu.be/E-gultoau9E
Serikali yaahaidi kupunguza tatizo la miundombinu mashuleni sambamba na kuwataka wazazi na walimu kushirikiana kwa pamoja ili kuboresha elimu. http://youtu.be/KRcCVytPv6I
Wananchi mbalimbali wamejitokeza katika Maonyesho ya Kimataifa ya biashara ya Sabasaba huku wakitaka uongozi wa maonyesho hayo kuyaboresha zaidi. http://youtu.be/qieHz2XE2-k
Mikoa ya kanda ya ziwa inategemea kunufaika na mradi wa ujenzi wa hospitali ya kansa itakayo jengwa mkoani Kagera kwa msaada wa kampuni ya VIP Engeneering. http://youtu.be/Y9EmxokCfmw
Katika kukabiliana na ongezeko la wagonjwa na uhababa wa majengo katika hospitali ya KCMC, ujenzi na upanuzi wa majengo hospitalini hapo waanza. http://youtu.be/BxqO5A25mzE
Serikali yaombwa kongeza bajeti ya wizara ya maendeleo ya jamii ili kuiwezesha wizara hiyo kutimiza majukum yake kwa ukamilifu. http://youtu.be/diHBJCA2GoQ
Wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu wapata taharuki baada ya kukuta kaburi la merehemu kikiwa limekewa vifaa mbalimbali juu yake. http://youtu.be/-ygrXdQ5LbU
TBC NEWS
Raisi Jakaya Kikwete afungua zoezi la uandikishaji BVR mkoani Pwani huku akitoa wito kwa watanzania kujitokeza kujiandikisha.https://youtu.be/y6lC3MLU5js
Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party Christopher Mtikila ataka uchaguzi mkuu kuwa huru na wa haki huku akiapa kuwashitaki mahakamani wale wote waliokiuka sheria za uchaguzi. http://youtu.be/5G8haiXEKjU
Wizara ya mali asili na utalii yasema kumekuwa na ongezeko la utalii wa ndani kufuatia kampeni mbalimbali za uhamasishaji wa kutembelea hifadhi hizo. http://youtu.be/YQTkSs0zdhw
Vurumai zazuka katika zoezi la uandikishaji BVR mkoani Morogoro huku afisa Mtendaji akinusurika kipigo baada ya kuingilia utaratibu uliowekwa na wananchi. http://youtu.be/mhouAJ5jIWM
Mkuu wa jeshi la polisi nchini asema matukio ya makubwa ya uhalifu mkoani Tabora yanatokana na wimbi kubwa la wahamiaji haramu wanao ingia na silaha nchini. http://youtu.be/DAHdcLe4GQk
Mbio za mwenge zaendelea kwa siku ya 6 mkoani Mbeya, huku uongozi wa mbio hizo ukitoa rai ya kujengwa kiwanda cha kakao ili kuwanuifaisha wakulima. http://youtu.be/9N8oqm8sWi4
Azam news
Joto la uraisi linaendelea kupanda ndani ya CCM mkoani Dodoma baada mchakato wa kumpata mgombea uraisi kuanza.http://youtu.be/bIV9p4q9Brk
Kundi la kigaidi la Alshabab lawaua watu 14 na kujeruhi wengine kadhaa nchini Kenya karibu na kambi ya kijeshi.http://youtu.be/nAg9bpjOMhQ
Utafiti uliofanywa hivi karibuni waonyesha asilimia 70 za magonjwa yawapatayo binandamu huambukizwa toka kwa wanayama wa kufuga . http://youtu.be/pU7VpXdO0g4
Katibu wa itikadi na uenezi wa Chaadema akosoa hukumu iliyotelwa kwa mawaziri wa zamani Daniel Yona na Basil Mramba.https://youtu.be/kgjOPY2u9yA
Star tv news
Chadema mkoani Tabora chawataka wanawake kuacha uoga ambao umewafanya wawe na maisha magumu kuwania uongozi.http://youtu.be/UKIwBB_YzXA
CCM mkoani Mwanza yawaasa wananchi kutofanya makosa kwa kuchagua wawakilishi wasio na msaada katika maendeleo ya maeneo yao. http://youtu.be/2KxsUiHo1uY
Madiwani wa halmashauri ya Geita waitupia lawama halmashauri hiyo kwa kushindwa kutekeleza maamuzi waliyokubaliana juu ya upungufu wa walimu katika shule za vijijini. http://youtu.be/P6xGTI72iSM
Viongozi wa dini wawataka watangaza nia watakao kosa nafasi kukubali matokeo ili kudumisha amani na mshikamano katika vyama vyao na taifa kwa ujumla. http://youtu.be/fHEhDkak7yI
No comments:
Post a Comment