Friday, June 19, 2015

BANDA LA NHIF LAWA KIVUTIO KWA HUDUMA NZURI

 Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji, Deusdedit Rutazaa akitoa maelezo ya huduma zinazotolewa katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya  kwenye maonesho ya Wiki ya Utumishi Viwanja vya Mnazi Mmmoja, Dar es Salaam jana.
 Vitengo vya upimaji afya bure, Elimu kwa Umma na Uanachama wakiendelea kutoa huduma kwa wananchi waliofika bandani hapo.
 Mwananchini akihudumiwa ndani ya gari la wagonjwa baada ya kuonekana anahitaji huduma ya kwanza katika banda la Mfuko. NHIF imeweka gari maalum kwa ajili ya kutoa huduma za haraka kwa wananchi watakaopata tatizo la afya viwanjani hapo.
 Ofisa Mwandamizi wa NHIF, Luhende Singu akitoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali kwa mteja.
 Kitengo cha elimu kwa Umma kikiwa kazini
 Ofisa katika kitengo cha Uanachama akiendelea na majukumu yake
Meneja wa Masoko na Elimu kwa Umma Anjela Mziray akionesha tuzo mbalimbali kwa Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji Bw. Rutazaa.

No comments: