Friday, June 12, 2015

THPS Yakabidhi Komputa kwa Vituo Vinane vya Afya Unguja na Pemba

Mkurugenzi  Mtendaji wa THPS, Dr.Redempta Mbatia, akizungumza kabla ya kukabidhi seti za kumputer kwa vituo vya afya vinane vya Unguja na Pemba kwa ajili ya kutunzia kumbukumbu katika vituo vyao.
DR Mdahoma akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa Msaada wa Komputer kwa Ajili ya kuwekea Kumbukumbu katika Vituo vya Afya vya Unguja na Pemba, makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya hoteli ya mazsons shangani Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu Wazara ya Afya Zanzibar, Halima Maulid Salum akitowa shukrani kwa msaada huo wa Seti za Kumputer uliotolewa na THPS kwa ajili ya Vituo vya Afya Vinane vya Unguja na Pemba ili kuweza kutunza kumbukumbu zao za kila siku.
Madaktari wa Vitengo Shirikishi katika Vituo vya Afya Unguja na Pemba wakishuhudia ukabidhiwaji wa misaada ya Styei za Komputer kwa Vituo hivyo kwa ajili ya kutunzia kumbukumbu katika vituo vyao wakiwa katika bustani ya hoteli ya Mzsons shangani Zanzibar wakati wa makabidhiano kabla ya kuaza kwa mkutano wa kutathimini uwekaji wa kumbukumbu. uliofanyika katika hoteli hiyo
Madaktari wa Vitengo Shirikishi katika Vituo vya Afya Unguja na Pemba wakishuhudia ukabidhiwaji wa misaada ya Styei za Komputer kwa Vituo hivyo kwa ajili ya kutunzia kumbukumbu katika vituo vyao wakiwa katika bustani ya hoteli ya Mzsons shangani Zanzibar wakati wa makabidhiano kabla ya kuaza kwa mkutano wa kutathimini uwekaji wa kumbukumbu. uliofanyika katika hoteli hiyo
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Ndg Halima Maulid Salum, akimkabidhi seti ya Komputer  Ndg Faiza Abass kwa ajili ya Kitengo Shirikishi Pemba, kwa ajili ya kuwekea kumbukumbu ya wagonjwa wanaoripotiwa kupitia Kitengo hicho, Vifaa hivyo vimetolewa na Taasisi ya Tanzania Helth Promotion Support , makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya hoteli ya Maszosns  shangani Zanzibar anayeshuhudia katikati Mkurugenzi Mtendaji wa THPS Dr. Redempta Mbatia

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Halima Maulid Salum, akimkabidhi Seti ya Komputer Daktari wa Kituo cha Afya Mnazi Mmmoja Ndg John Maida, kwa ajili ya kutunzia Kumbukumbu katika Kituo chao, msaada huo wa Kumputer umetolewa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya THPS,Komputer hizo zimekabidhiwa kwa Vituo vinane Unguja na Pemba makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya hoteli ya Mazsons Shandani Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Halima Maulid Salum, akimkabidhi Seti ya Komputer Daktari wa Kituo cha Afya Pemba Ndg, Badran Sultani Issa, kwa ajili ya kutunzia Kumbukumbu katika Kituo chao, msaada huo wa Kumputer umetolewa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya THPS,Komputer hizo zimekabidhiwa kwa Vituo vinane Unguja na Pemba makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya hoteli ya Mazsons Shandani Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Halima Maulid Salum, akimkabidhi Seti ya Komputer Daktari wa Kituo cha Afya Unguja, Ndg Ahmed Hani Mohammed, kwa ajili ya kutunzia Kumbukumbu katika Kituo chao Shirikishi , msaada huo wa Kumputer umetolewa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya THPS,Komputer hizo zimekabidhiwa kwa Vituo vinane Unguja na Pemba makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya hoteli ya Mazsons Shandani Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Halima Maulid Salum, akimkabidhi Seti ya Komputer Daktari wa Kituo cha Afya Chakechake Pemba Bi Mgeni Seif, kwa ajili ya kutunzia Kumbukumbu katika Kituo chao, msaada huo wa Kumputer umetolewa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya THPS,Komputer hizo zimekabidhiwa kwa Vituo vinane Unguja na Pemba makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya hoteli ya Mazsons Shandani Zanzibar.
Mkurugenzi  Mtendaji wa THPS, Dr.Redempta Mbatia, akizungumza wakati wa mkutano huo na kutowa maelezo ya THPS, jinsi nanavyofanya kazi zake. 
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Ndg Halima Maulid Salum, akifungua mkutano wa siku moja kwa Madaktari wa Vitengo vya Shirikishi vya Ukimwi, Ukoma na Kifua Kikuu, kutunza data katika Vituo vyao iliowajumuisha Madaktari kutoka  Vituo 8 vya Unguja na Pemba , ulioandaliwa na Taasisi ya Tanzania Helth Promotion Surppot , yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons shangani Zanzibar, kulia Mkurugenzi  Mtendaji wa THPS, Dr.Redempta Mbatia
Washiriki wa warsha ya siku moja kutathimi mafanikio ya Utunzaji wa Data katika Vituo vya Afya Shirikishi vya Unguja na Pemba, wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Bi Halima Maulid Salum akifungua warsha hiyo katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons shangani Zanzibar.
Ofisa wa THPS Zanzibar akifuatilia warsha hiyo ya Madaktari wa Vituo vya Afya Kitengo Shirikishi wakati wa  mkutano huo wa siku moja kutathimini mafanikio ya Utunzaji, uliofanyika hoteli ya Mazsons Shangani Zanzibar.
Washiriki wa warsha ya siku moja kutathimi mafanikio ya Utunzaji wa Data katika Vituo vya Afya Shirikishi vya Unguja na Pemba, wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Bi Halima Maulid Salum akifungua warsha hiyo katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons shangani Zanzibar.

No comments: