Mtoto mkazi wa Rupindu wilaya ya Ludewa mkoani Njombe akicheza kando ya ziwa nyasa wakati mawimbi makali yakipiga |
Watoto wakifurahia kuchafuka kwa ziwa nyasa kwa kucheza katika mawimbi |
Mtoto mkazi wa Rupingu akitoka kuchota maji katika kina kirefu cha ziwa Nyasa baada ya ziwa kuchafuka na hivyo maji ya pembeni kuwa na uchafu mwingi |
Wakazi wa Rupingu Ludewa wakitazama abiria wakishuka katika boti baada ya ziwa kuchafuka |
Boti akipita katika mawimbi makali |
Bw Luciana Mbosa akitazama ziwa nyasa baada ya kuchafuka |
Wasafiri wakishuka katika boti kupanda mtumbwi |
Wasafiri wakishuka katika boti kuhairisha safari baada ya ziwa nyasa kuchafuka (picha na MatukiodaimaBlog) |
No comments:
Post a Comment