Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini CGP John Casmir Minja katika Viwanja vya Chuo cha
Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufunga mafunzo ya
uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo. Maafisa 104 wa kozi hiyo
walihitimu mafunzo hayo na kuvishwa vyeo hivyo. Kulia ni Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana naWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufunga mafunzo ya uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo. Maafisa 104 wa kozi hiyo. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadick
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadick, Jaji Kiongozi Mhe Shaaban Ali Lila na Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji nchini Sylvester Ambokile
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil, Inspekta Jenerali wa Polisi ( IGP) Ernest Mangu na Kamanda wa Jeshi la Ardhini Meja Jenerali Salum Kijuu
Rais Jakaya Kikwete
akikagua gwaride liloandaliwa kwa ajili yake na wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi
wa Ngazi za Juu wa Jeshi la Magereza kabla ya kuyafunga mafunzo ya Cheo cha
Mrakibu Msaidizi yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Maafisa wa Jeshi
hilo, Ukonga jijini Dar es Salaam. Rais Kikwete aliyafunga mafunzo hayo ambayo
yalienda sambamba na Siku ya Magereza ambapo alikagua bidhaa mbalimbali
zinazozalishwa na jeshi hilo nchini.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufunga mafunzo ya uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo. Maafisa 104 wa kozi hiyo walihitimu mafunzo hayo na kuvishwa vyeo hivyo.

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa kukagua kikosi cha Brass Band katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufunga mafunzo ya uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo. Maafisa 104 wa kozi hiyo walihitimu mafunzo hayo na kuvishwa vyeo hivyo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua kikosi cha Brass Band katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufunga mafunzo ya uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo. Maafisa 104 wa kozi hiyo walihitimu mafunzo hayo na kuvishwa vyeo hivyo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa baada ya kugagua gwaride la heshima katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufunga mafunzo ya uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo. Maafisa 104 wa kozi hiyo walihitimu mafunzo hayo na kuvishwa vyeo hivyo.
Sehemu ya wanahabari raia na wanajeshi wakirekodi tukio hilo katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufunga mafunzo ya uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo. Maafisa 104 wa kozi hiyo walihitimu mafunzo hayo na kuvishwa vyeo hivyo.
Wahitimu bora na mwakilishi wa wahitimu atayevalishwa cheo kwa niaba yao wakisonga mbele
Wahitimu bora na mwakilishi wa wahitimu atayevalishwa cheo kwa niaba yao wakipiga saluti kwa ukakamavu
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti Mwanafunzi aliyefanya vizuri zaidi katika masomo ya darasani Mrakibu Msaidizi Saidi Jacob Seni
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti Mwanafunzi aliyefanya vizuri zaidi katika nidhamu Mrakibu Msaidizi Bakari Mohamed Ahmed
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti Mwanafunzi Mrakibu Msaidizi Amina Juma Lidenge ambaye pia anawakilisha wahitimu wote kupokea cheo
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijianda kumvika cheo Mrakibu Msaidizi Amina Juma Lidenge
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimvisha mhitimu Amina
Lidenge, Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Magereza kwa niaba ya wenzake
104 waliomaliza mafunzo hayo katika Chuo cha Maafisa wa Jeshi hilo, Ukonga
jijini Dar es Salaam
Sehemu ya maafisa waandamizi na wageni waalikwa kwenye sherehe hizo
Sehemu ya maafisa waandamizi kutoka nchi mbalimbali na wageni waalikwa kwenye sherehe hizo
Makamishna Jenerali wastaafu Nicas Banzi na Alhaj Jumanne Mangara wakiwa miongoni mwa waalikwa
Sehemu ya maafisa waandamizi kutoka nchi mbalimbali na wageni waalikwa kwenye sherehe hizo
Sehemu ya maafisa waandamizi kutoka nchi mbalimbali na wageni waalikwa kwenye sherehe hizo
Sehemu ya maafisa waandamizi na wageni waalikwa kwenye sherehe hizo
Sehemu ya maafisa waandamizi kwenye sherehe hizo
Sehemu ya wastaafu wa Jeshi la Magereza, maafisa waandamizi na wageni waalikwa kwenye sherehe hizo
Maafisa waandamizi waalikwa kutoka vikosi mbalimbali
Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza
Maafisa waandamizi waalikwa kutoka vikosi mbalimbali
Makamishna Jenerali wa Magereza wa nchi za SADC
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadick, Jaji Kiongozi Mhe Shaaban Ali Lila na Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji nchini Sylvester Ambokile
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini (CGP) wakipokea saluti kutoka kwa kamandi ya wahitimu katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam,
Gwaride la Wahitimu wa mafunzo ya uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo.

Sehemu ya Wahitimu wa mafunzo ya uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo.
Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza
Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza
Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza
Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza
Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza
Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza
Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza
Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza
Gwaride la vikosi vya Jeshi la Magereza
Gwaride la vikosi vya Jeshi la Magereza
Makamanda wa mfano wa Gwaride la vikosi vya Jeshi la Magereza la enzi za mkoloni
Mfano wa Gwaride la vikosi vya Jeshi la Magereza la enzi za mkoloni
Maonesho ya ukakamavu na kujilinda bila kutumia silaha
Askari wanamama nao wako fiti
Tofali linavunjiwa kichwani kwa askari ambaye chini yake kuna kisu
Mkuu wa Chuo cha Maafisa Magereza akisoma risala
Rais Kikwete akipokea Risala kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam,
Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini CGP John Casmir Minja akihutubia hadhara hiyo
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya ufundib(NACTE)bDkt. Adolf Rutayuga akielezea machache kuhusu kukabidhiwa ithabati kwa Chuo cha Kurekebisha Tabia cha Magereza
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya ufundib(NACTE)bDkt. Adolf Rutayuga akimkabidhi Waziri Chikawe ithabati kwa Chuo cha Kurekebisha Tabia cha Magereza
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya ufundib(NACTE)bDkt. Adolf Rutayuga akimkabidhi Waziri Chikawe ithabati kwa Chuo cha Kurekebisha Tabia cha Magereza
Rais Kikwete akimkabidhi idhibadi ya NECTA Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini CGP John Casmir Minja
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias
Chikawe (kulia), akimkaribisha Rais Jakaya Kikwete baada ya kukagua
gwaride la wahitimu 104 wa kozi ya Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Magereza kabla
ya Rais huyo kuyafunga mafunzo hayo
Rais Jakaya Kikwete
akizungumza na Askari na Maafisa wa Jeshi la Magereza, wageni waalikwa na
wananchi wakati akiyafunga mafunzo ya Uongozi wa Ngazi za Juu wa Jeshi hilo na
kuwatunukia vyeo vya Warakibu Wasaidizi 104. Katika hotuba yake Rais Kikwete
aliwapongeza wahitimu hao kwa kutunukiwa vyeo hivyo, na pia aliwataka maafisa
wa Jeshi hilo wafuate sheria kwa wawatendea haki Mahabusu na Wafungwa katika
magereza nchini.
Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Ngazi za Juu wa Jeshi la Magereza wakisikiliza hotuba ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea kuhutubia
Mshereheshaji wa sherehe hizo
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na meza kuu wageni kutoka nje ya nchi na wahitimu
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wahitimu
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na meza kuu wageni kutoka nje ya nchi na wahitimu
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na meza kuu wageni kutoka nje ya nchi na wahitimu
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja Makamishna Jenerali wa nchi za SADC na Kenya
Rais Kikwete akisalimiana na watoto wa askari
Sherehe hizo zilienda sambamba na Siku ya Magereza ambapo Rais Kikwete alikagua bidhaa maonesho ya shughuli mbalimbali na bidhaa zinazozalishwa na jeshi hilo nchini.
Rais Kikwete akikagua idara ya uhandisi wa majengo
Rais Kikwete akikagua idara ya uhandisi wa majengo
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri Chikawe na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini CGP John Casmir Minja wakiwa katika baadhi ya samani zinazotengenezwa na jeshi hilo
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri Chikawe na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini CGP John Casmir Minja wakipata maelezo ya samani zinazotengenezwa na jeshi hilo
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri Chikawe na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini CGP John Casmir Minja wakipata maelezo ya SACCOS ya Jeshi hilo
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamishna Jenerali wastaafu
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri Chikawe na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini CGP John Casmir Minja wakiwa na Makamishna Jenerali wastaafu
Rais Kikwete katika banda la PSPF
Rais Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu juu ya shughuli za mfuko huo hapo jeshi la Magereza
Rais Kikwete akiongea na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu,
Rais Kikwete akiangalia vikombe vya ubingwa wa michezo mbalimbali vilivyopata kunyakuliwa na Jeshi la Magereza
2 comments:
asante sana kwa picha na habari
Asante sana kwa habari na picha hizo kuhusu magereza day
Post a Comment