Friday, June 19, 2015

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA TEKNOLOJIA YA USALAMA KUTOKA UJERUMANI NA TANZANIA ULIOANZA LEO

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi akifungua mkutanowa teknolojia ya Usalama unaowashirikisha wadau wa teknolojia ya Usalama kutoka Nchini Ujerumani na Tanzania, ulioanza  leo katika Hoteli ya Double Tree Jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa mkutano wa wadau wa teknolojia ya Usalama,unaowashirikisha wadau wa teknolojia ya Usalama kutoka Nchini Ujerumani na Tanzania, wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi wakati akifungua mkutano huo katika Hoteli ya Double Tree,Jijini  Dar es Salaam.
Meneja wa Kampuni inayojishughulisha na masuala ya usalama katika bandari,viwanja vya ndege na Ghala za mafuta,Mussa Lukanya, akiwasilisha mada katika mkutano wa teknologia na usalama ,unaowashirikisha wadau wa teknolojia ya Usalama kutoka Nchini Ujerumani na Tanzania, ulioanza  leo katika Hoteli ya Double Tree,Dar es Salaam.
Afisa Usalama na Utawala kutoka Mamlaka ya Bandari(TPA), Fikiri Musiba , akiwasilisha mada katika mkutano wa teknologia na usalama, unaowashirikisha wadau wa teknolojia ya Usalama kutoka Nchini Ujerumani na Tanzania, ulioanza  leo katika Hoteli ya Double Tree,Dar es Salaam.

No comments: