Afisa Mipango Miji na Vijiji wa Halmashauri ya Wilaya ya
Mbozi, Vitus James, akizungumza na waandishi wa habari waliokuwa katika ziara
ya kujionea Urasimishaji biashara na Rasilimali za Wanyonge katika mikoa ya Mbeya, iringa na morogoro
unaofanywa mkurabita.
Kaimu Afisa Mtendaji wa nji wa Momba Ritha Kamanga,
akizungumza na wanahabari hao kuhusu upimwaji wa mji huo na kupatiwa hati za
kimila ili wananchi wao wanufaike na rasilimali hiyo kama kwenda kukopam kwenye
mabenki kwa kutumia hati.
Ofisi ya Halmashauri ya mji
wa Tunduma.
Mpima Ardhi wa Mji wa momba, Awadhi Salum (kushoto),
akiwaonyesha waandishi wa habaro ramani ya nyumba ambazo zimepimwa na kupatiwa
hati za kimila
Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Mussa Zumbiza, akizungumza na
wanahabari hao waliofika ofisini kwake kupata habari za Mkurabita mkoani humo
kuhusu kuwakomboa wananchi.
Kiongozi wa msafara huo Gloria Mbilimomyo, pamoja na
wanahabari wakisubili kuondoka katika ofisi za jiji hili tayari kwenda
kushuhudia maeneo ya biashara zilizorasimishwa.
Neema Geofrey, mfanyakazi wa kiwanda cha Banana Crisps cha
eneo la Forest , akiadaa biashara hiyo tayari
kuipeleka kwa walaji biashara hiyo imerasimishwa na bidhaa zake zinauzwa ndani
na nje ya nchi,
Rose Mahimbila Mkurugenzi wa Kampuni ya Rohi inayojishughulisha
na utengenezaji wa Banana Crisps na
sabuni akielezea biashara yake jinsi inavyoendelea kukua baada ya kuirasimisha.
Rose na mfanyakazi wake wakifunga bidhaa hizo
Rose, akifunga sabuni
Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Mbeya Stephine Mwaipopo,
akizungumza na msafara huo wa waandishi kuhusunbenki hiyo inavyowakopesha
wananchi wanaotaka kukopa kwa kutumia hati za kimila au wanaojiunga pamoja
zaidi ya watu watano .
Makao makuu ya Ofisi ya Benki ya CRDB Mkoani Mbeya.
Mwakilishi wa kampuni ya Bima ya NIKO mkoani mbeya Anthony
Mashiku, akizungumza na wanahabari jinsi kampuni hiyo ilivyoshiriki katika
warsha za kuwaelimisha wafanyabishara jinsi ya kujiwekea bima za majanga ili
biashara zao wanazoziendesha kwa fedha nyingi.
Lusungu Ngongomyi mkazi wa Kijiji cha Kapyo Wilayani Mbarali mkoani Mbeya,
akiwaonyesha wanahabari hati ya
kimira baada ya kupimiwa shamba lake lenye
ukumbwa hekali tano ambayo anasema baada ya kukabidhi anataka kwenda kwenye
taasisi za fedha kuitumia kukopa baada ya kupata elimu katika taasisi za fedha
Lusungu Ngongomyi mkazi wa Kijiji cha Kapyo Wilayani Mbarali mkoani Mbeya,
akiwaonyesha wanahabari hati ya
kimira baada ya kupimiwa shamba lake lenye
ukumbwa hekali tano ambayo anasema baada ya kukabidhi anataka kwenda kwenye
taasisi za fedha kuitumia kukopa baada ya kupata elimu katika taasisi za fedha.
Leonis Mwenda,Mpima Ardhi Manispaa ya Iringa, akizungumza na
msafara wa wanahabari kuhusu utoaji elimu kwa wananchi baada ya kupimiwa maeneo
yao ,
kurasimishwa biashara zao ili wajikwamue kutoka katika lindi la umaskini.
Mkurugenzi wa Liganga Blacksmith Group,akizungumza na
wanahabari na kuwaonyesha bidhaa zinazotengenezwana kampuni hiyo walipoanzia na
sasa walipo baada ya kupata mafunzo na kuwa wakopaji wazuri kwenye taasisi za
fedha za mkoa huo.

Mkurugenzi wa Liganga Blacksmith Group,akizungumza na wanahabari na kuwaonyesha bidhaa zinazotengenezwana kampuni hiyo walipoanzia na sasa walipo baada ya kupata mafunzo na kuwa wakopaji wazuri kwenye taasisi za fedha za mkoa huo.
Kaimu Mkurugenzi wa benki ya CRDB Mkoa wa Mbeya Msafiri Mhina, akizungumza na wanahabari,
akiwaeleza wanahabri jinsi benki hiyo inavyojitahidi kutoa elimu kwa wananchi
na kuwashawishi kufungua akaunti ili biashara zao ziweze kuwa endelevu warsha
hizo wanazozifanya chini ya Mkurabita zinashirikisha makampuni ya Bima na TRA
Afisa Elimu kwa walipakodi mkoa wa iringa
Faustine Masunga, skizungumza na wanahabari jinsi mamalaka hiyo ilivyofanikiwa
kuwa karibu na wafanyabiashara ndogondogo baada ya kuwa maadui kwa muda mrefu
kwa kuelimishana katika semina zinazoedeshwa mkoani hapo
Kemy Kiula, Mwenyekiti wa Kikundi cha wanaushirika cha trust
deed of the regegistered of Tanzania ,
akipanga biashara na mwanaushirika mwenzake biashara zao zimerasimishwa na
wameanza kujipatia mikopo
Kemy Kiula, Mwenyekiti wa Kikundi cha wanaushirika cha trust
deed of the regegistered of Tanzania ,
akipanga biashara na mwanaushirika mwenzake biashara zao zimerasimishwa na
wameanza kujipatia mikopo.
wananchi wa morogoro eneo la kihondana viongozi wa manispaa
ya morogoro wakiwa katika mikutano ya kuzungumzia elimu inayotolewa na
uwasilishaji wa maombi ya mikopo katika mabenki baada ya kupimiwa mameneo yao na biashara zao.

Wananchi wa morogoro eneo la kihondana viongozi wa manispaa
ya morogoro wakiwa katika mikutano ya kuzungumzia elimu inayotolewa na
uwasilishaji wa maombi ya mikopo katika mabenki baada ya kupimiwa mameneo yao na biashara zao.
Mzee Raphael Bundala, akiwaomba mkurabita washirikiane na
mabenki kuunda chombo cha kuwa na akaunti yao
ili mikopo wanapohitaji pasiwepo na usumbufu kama
ilivyozoeleka kwa masikini hakopesheki.
.
No comments:
Post a Comment