Wednesday, June 24, 2015

MAKALA YA LEO : JINSI YA KUANDAA NA KUTAYARISHA LISHE MAALUMU YA KUONGEZA, KURUTUBISHA NA KUNENEPESHA MWILI


 Dawalishe  ya  kunenepesha  na  kurutubisha  mwili  ni  lishe maalumu  inayosaidia  kunenepesha   na  kurutubisha  mwili.

Lishe  hii  hutumika  kwa ajili ya kuwasaidia  watu wanao  taka  kunenepa  ama  kuongeza  miili  yao.
  
Lishe  hii  hutumika  kuwasaidia  watu  walio  dhoofika  kutokana na kuumwa magonjwa  mbalimbali  ama  walio  dhoofika kwa  sababu  nyinginezo  kama  vile kutopata  lishe bora  kwa  mud mrefu pamoja  na  msongo  wa  mawazo.
  
JINSI YA  KUANDAA  DAWA –LISHE YA KUNENEPESHA, KURUTUBISHA    NA KUONGEZA MWILI.

Matumizi  ya  dawa-lishe  ya  kuongeza,kurutubisha  na kunenepesha mwili, yamegawanyika  katika  njia kuu  mbili.  Mtumiaji  anaweza kutumia njia moja wapo kati  ya  njia hizo  mbili.

Njia  hizo mbili  ni  kama inavyo  dada  vuliwa  hapa chini;

A. NJIA  YA  KWANZA.
MAHITAJI :Mahitaji  ya kuandaa  lishe kwa kutumia njia  hii  ni  kama  ifuatavyo :
1.  Dawa  Ya  Lishe
2.  Asali  ya  tende  lita moja
3.  Vijiko viwili  vikubwa  vya  tangawiz iliyo  sagwa.
4.  Unga  wa lishe
5.  Maziwa  fresh lita moja.

JINSI  YA  KUTENGENEZA ASALI YA  TENDE
Chukua  robo  kilo ya  tende, kisha  changanya na lita moja ya maji,halafu  iache  usiku  kucha.  Ikifika asubuhi chuja,makapi weka pembeni  upate juisi yako.Hifadhi  juisi  yak kwenye  jagi safi.
MATAYARISHO   YA  LISHE
1.  Pika  uji  wako kwa kutumia unga wa lishe na maziwa fresh.
2.  Andaa vijiko  viwili  vikubwa  vya  tangawizi iliyo sagwa.
3.  Maji  nusu lita.
4.  Tayarisha   vijiko  vine  vikubwa   vya  dawa-lishe.
5.  Andaa  glasi moja   ama  kikombe  kimoja  cha maji  ya moto  chenye  ujazo  wa  milimita  mia mbili na hamsini   250mills ).

MATUMIZI :

1.  Chukua  vijiko  vinne  vikubwa vyenye  dawa-lishe, changanya   na nusu  lita  ya  maji, chemsha hadi itokote kisha  ipua  na uchuje.  Tumia kunywa  glasi mbili  za dawa  yako.  Halafu
2.  Chukua  vijiko  viwili  vikubwa  vya  unga wa tangawizi, changanya kwenye  kikombe cha  maji  ya moto  au vugu  vugu,koroga  na  kunywa…
3.  Kunywa  kikombe kimoja au  viwili  vya  uji wako.
UTAFANYA  HIVYO  ASUBUHI  NA JIONI KWA SIKU THELATHINI.

B:   NJIA  YA  PILI :  Njia  hii  inaweza  kuwa  rahisi zaidi  kutumia, ikilinganishwa na  njia  ya  kwanza;

MAHITAJI ;

1.  Dawa-Lishe
2.  Unga  wa ufuta
3.  Maziwa  fresh
4.  Maji

MATAYARISHO :
1.  Tengeneza  uji  kwa  kutumia  unga  wa  ufuta  na maziwa.
2.  Chemsha  vijiko  vinne  vikubwa  vya  dawa  yako kwenye  maji  nusu  lita.

MATUMIZI  :
1.  Kunywa   glasi  mbili  za  dawa  yako  kisha
2.  Kunywa  vikombe  vinne   vya  uji  wa  ufuta  ulio changanywa  na  maziwa.
UTAFANYA  HIVYO  MARA  MBILI KWA SIKU  KWA SIKU  THELATHINI..

Baada  ya  siku  thelathini  kuisha  utafanya  tathmini na  kuona  kama  utahitaji  kuongezeka  zaidi.
Kama  utahitaji  kuongezeka  zaidi,utaendelea kutumia  dawa-lishe  yako  kwa siku  nyingi zaidi hadi  pale  utakapo  fikia  kiwango  ulicho  ridhika nacho.

BEI  YA  DAWA –LISHE  : DAWA-LISHE  inapatikana  kwa SHILINGI  ELFU HAMSINI  TU.

IMETAYARISHWA  NA  KITUO  CHA  NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL  FOODS  CLINIC.

Tunapatikana  jijini  Dar  Es  salaam, eneo  la  TABATA  karibu  na  Shule  ya  Sekondari  ya  Mtakatifu  Annuarite.

Kupata  dawa-lishe  wasiliana  nasi  kwa simu 0766538384

Na  kwa  taarifa  zaidi  kuhusu  huduma  zetu, tembelea:

No comments: