Monday, June 8, 2015

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE ATEMBELEA VISIWA VINNE WILAYANI MULEBA MKOANI KAGERA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana,  akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Mpira wa Muleba mjini mkoani Kagera

KTIBU  NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akihutubia wananchi katika  mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Mpira wa Muleba mjini mkoani Kagera.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwasalimia wenyeji wao wa kisiwa cha Iroba-Bumbile walipokuwa wakiwasili.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wakiwasili kwenye Kisiwa cha Iroba-Bumbile wilayani Muleba mkoani kagera,nyuma yake ni Katibu wa NEC,Itikadi na Unezi Nape Nanauye.

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa  na Mbunge wa jimbo la Muleba Kusini Mh. Profesa Anna Tibaijuka wakijadiliana jambo katika boti wakati wakijiandaa kusafiri kwenda kisiwa cha Iroba-Bumbile,wilayani humo mkoani Kagera.

Sehemu ya umati wa watu kwenye mkutano huo wa Katibu Mkuu wa CCM.
 Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka, akiwahutubia wananchi wake kwenye mkutano wa hadhara uliofayika kijiji cha Katunguru,  leo kwenye Uwanja wa Mpira wa Muleba mjini mkoani Kagera.


Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akisalimiana na Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akisaini kitabu ha ugeniPichani kati ni Prof Anna Tibaijuka akiwakaribisha wageni wake walipowasili eneo la bandari ya Katungura pamoa katibu wa Naec Taidana kukia ni 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na ujumbe wake wakipewa maelekezo mafupi kabla ya kuondoka kuelekea kwenye kisiwa cha Iroba-Bumbile kwenda kuwasalimia wananchi na kusikiliza matatizo yao pamoja na kuyatafutia ufumbuzi.Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipanda boti kutoka kijiji cha Kywamkwikwi kwenda Kisiwa cha Iroba-Bumbile
Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini Ndugu Prof.Anna Tibaijuka akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana pamoja Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
Sehemu ya eneo la Kisiwa cha Iroba -Bumbile kama kionekavyo pichani.Baadhi ya Wananchi wakisubiri kupokea msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na ujumbe wake.



Baadhi ya Wananchi wa kisiwa cha Iroba-Bumbile wakiwapogea wageni wao kwa furaha.

Katibu Mkuu wa CCM ,Ndugu Kinana akisalimaiana na baadhi wenyeji wa kisiwa cha Iroba-Bumbile.





Katibu wa NEC Itikadi na Uenexi Nape Nnauye Ndugu Kinana akiwahutubia wananchi wa kisiwa cha Iroba-Bumbile wilaynai Bumbile
Ndugu Kinana akiwahutubia wananchi wa kisiwa cha Iroba-Bumbile wilaynai Bumbile
Mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage, akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana uliofanyika leo kwenye kisiwa cha Iroba-Bumbile .Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwapungia mkono wananchi alipowasili kwa mtumbwi katika kijiji cha Katunguru, baada ya kutembelea visiwa zaidi ya vinne, katika wilaya ya Muleba,kulia kwake ni Prof Tibaijuka ambaye ni Mbunge wa jimbo la Muleba kusini,Kinana yuko kwenye ziara ya siku kumi kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, na uhai wa Chama katika wilaya hiyo mkoani Kagera.Katibu wa NEC, Itkadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia wananchi katika Kijiji hicho cha Katunguru. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana. Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na wananchi katika kijiji hicho cha KatunguruSehemu ya umati watu waliokuwa wamekusanyika kwenye mkutano huo.

No comments: