Nembo ya Kampuni hiyo ya Avic Town.
Ofisa Masoko wa Kampuni Avi Town, Kidani Muhombolage (kulia) akiwaongoza wateja walipotembelea mradi wa nyumba za aina saba zilizojengwa na kampuni hiyo zilizopo Kijiji cha Somangira Kigamboni Dar es Salaam, Mradi huo una ekari 583.
Wateja wakiwa wanatoka ndani ya nyumba hizo
Sehemu ya kiwanja cha michezo
Mandhari ya lango kuu la kuingia katika nyumba za mradi huo.
Raia wa Jamhuri ya watu wa China waishio Tanzania wakifatilia jambo katika simu zao wakati walipotembelea mradi huo.
Mmoja wa wateja hao akiongea na waandishi wa habari (pichani hawapo)
Mmoja wa wateja akiwaonyeshawenzake nyumba hizo wakati walipotembelea nyumba hizo
Wateja waliotembelea Mradi huo wakiwa katika picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment