Sunday, June 7, 2015

Jumuiya ya Wanafunzi Watanzania Wanaosoma Wuhan-China (WUTASA) yaaga wenzao waliomaliza masomo

Jumuiya ya Wanafunzi Watanzania Wanaosoma Wuhan-China (WUTASA) imefanya sherehe ya kuwaaga wenzao waliomaliza masomo yao. Sherehe hiyo ilihudhuriwa pia na Wanajeshi wa Jeshi la Wanachi (JWTZ) Kikosi cha Maji wanaosoma kozi fupi za uhandisi katika chuo cha jeshi cha uhandisi kilichopo Jijini Wuhan.










1 comment:

Anonymous said...

Pongezi kwa waliohitimu sasa warudi kulitumikia taifa letu.