Kitambi
ni ile hali
ya tumbo kuwa kubwa
na kuchomoza kwa
mbele na wakati mwingine kufikia
hatua ya kunin’ginia.
JINSI
KITAMBI KINAVYO PATIKANA
Kwa
mujibu wa tafiti
mbalimbali za kitaalamu, mwili wa binadamu una seli kati ya bilioni 50
hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika sehemu
mbalimbali za mwili wa binadamu.
Kwa wanawake
seli hizo zipo sana katika maeneo
ya matiti, kwenye nyonga, kiunoni na
kwenye makalio.
Kwa upande wa wanaume
seli hizo zinapatikana sana kwenye kifua, tumboni na kwenye makalio
pia.
Mafuta ya tumbo yanayofanya kitambi
hukusanywa kwa njia kuu mbili:
i.
Njia
ya kwanza ni mafuta kutoka kwenye tishu
zilizo chini ya ngozi
ii.
Na
njia
ya pili ni kutoka kwenye ogani za ndani kama moyo, kongosho n.k
SABABU ZA KUPATA KITAMBI
Sababu kubwa ya kitambi ni kukosekana
ulingano wa nguvu(kalori) katika
mwili wa mwanadamu, hali inayo
sababishwa na mtu kula vyakula vinavyotia nguvu sana kuliko
jinsi anavyoweza kutumia na kutoa kama taka mwili.
VYAKULA
VINAVYO CHANGIA KULETA KITAMBI
Vyakula vinavyochangia kuleta
kitambi ni pamoja na :
i.
Vyakula vyenye
mafuta mengi kama
vile nyama nyekundu (iwe ni ya kuchemsha, kukaanga au kuchoma),
nyama ya
kuku wa kizungu
( iwe ya kuchemsha, kukaanga ama kuchoma
), mafuta ya kupikia, (hasa yale yatokanayo na bidhaa za wanyama, kama siagi,
na jibini), viazi ya kukaanga kwa
mafuta (chips) pamoja na
pizza.
ii.
Vyakula vyenye wanga mwingi kama vile ugali wa mahindi, mihogo, wali, mkate mweupe.
iii.
Vyakula
na vinywaji vyenye
sukari nyingi iliyo
ongezwa
( added sugar ), kama
vile soda na
keki.
iv.
Vyakula vilivyo
tengenezwa kwa ngano na sukari kama
vile keki, skonzi, chapatti,
maandazi, mkate mweupe nakadhalika
v.
Pamoja na
vinywaji vilivyo tengenezwa
kwa kutumia ngano
kama vile bia
za aina mbalimbali
na kadhalika.
Vyakula
vilivyo tajwa hapo
juu, vikitumiwa bila kuzingatia
kanuni za mlo
kamili, huchangia kuleta tatizo
la kitambi.
vi.
Sababu
nyingine ni kutofanya mazoezi
ya mwili na
viungo
( physical
exercises ) kwa
muda mrefu.
JINSI YA KUJUA KAMA UNA KITAMBI
Kitambi kinaweza kuonekana kirahisi kwa
macho. Ila kujua ni kwa kiwango gani kitambi chako kipo inabidi kufanya vipimo
vya kiuno(waist) na nyonga (hips).
Mzingo wa kiuno ukiwa >102 cm au
40 kwa wanaume na >88 cm au 35 kwa wanawake, na uwiano wa kiuno na
hips(Waist-Hip Ratio) ikiwa >0.9 kwa wanaume na >0.85 kwa wanawake.
BMI ya 30 au zaidi inaashiria 'Obese'
uzito kuzidi kiasi. Kuwa na mzingo uliozidi kawaida ni kiashiria hatari cha
matatizo ya kimetaboliki, kuliko hata cha BMI.
Kipimo kingine cha kitambi ambacho
kimeonyesha uwezo zaidi kuliko BMI katika kutabiri uwezekano mkubwa wa magonjwa
ya moyo ni Index Of Central Obesity(Waist-To-Height Ratio-WHtR) ambapo uwiano
ukiwa sawa na 0.5 au zaidi, hii ikimaanisha mzingo wa kiuno angalau ni nusu ya
kimo cha mtu.
Kipimo kingine ni Body Volume Index,
kinachopima kitambi kwa kupima umbo la mtu na mgawanyo wa uzito wake.
MAMBO
YANAYO MUWEKA MTU
KATIKA HATARI YA
KUPATWA NA KITAMBI
Tumekwisha ona
hapo juu jinsi kitambi
kinavyo patikana na
vyakula pamoja na
sababu nyinginezo zinazo
sababisha kutokea kwa
kitambi, sasa tutazame mambo
yatakayo kufanya uwe
katika hatari ya
kupatwa na kitambi.
Kwa
mujibu wa tafiti
mbalimbali za kitaalamu, mambo yafuatayo
huwaweka watu katika
hatari kubwa ya
kupatwa na kitambi :
1.
Ulaji mbovu
wa chakula; Ulaji mbovu
wa chakula ni
ulaji usio zingatia
kanuni za mlo
kamili. Hapa mtu hufululiza
kutumia chakula cha
aina fulani pekee
bila kuzingatia aina
nyinginezo za chakula.
Mfano; mtu anaweza kuwa
anakula mlo ufuatao :
Asubuhi : Mchemsho
ama supu
ya ng’ombe , chapatti tatu
na soda moja. Mchana : Ugali
nyama choma anashushia kwa
maji na soda.
Jioni :
Mchemsho wa
kuku na bia
mbili nakuendelea.
Usiku
: Chips mayai
au chips kuku
au chips mishikaki
na bia.
Mtu huyu
akiendelea na utaratibu
huu kwa muda
mrefu, ni lazima atapatwa
na kitambi.
2.
Ulaji
mfululizo wa vyakula
vyenye mafuta mengi
3.
Ulaji mfululizo
wa vyakula vyenye wanga
mwingi .
4.
Ulaji mfululizo
wa vyakula vyenye
sukari iliyo ongezwa ( added sugar
).
5.
Ulaji mfululizo
wa vyakula vya ngano.
6.
Ulaji mfululizo
wa vinywaji vyenye ngano
na sukari.
7.
Kutofanya mazoezi
ya mwili na viungo
( physical exercises ).
Mhusika
anapokuwa katika makundi
yote yali yotajwa hapo
juu, hali huwa mbaya
zaidi.
NJIA ZA KUONDOA KITAMBI
Kuwa na
kitambi ni lugha
ya mwili ( body-language ) inayo
leta ujumbe kwako
kwamba “ Mwili wako
haupo salama tena “
Kama una
kitambi maana yake
una mafuta yasiyo
hitajika mwilini, mwili wako
unatumika kuhifadhi mafuta
usiyo yahitaji.
Hali hii
kitabibu imaanisha kwamba, ogani
nyinginezo zilizomo ndani
ya mwili wako
zinao gelea kwenye mafuta( fats
) yasihotika yaliyomo ndani ya
mwili wako, jambo
linalo kuweka katika
hatari kubwa sana
ya kushambuliwa na
magonjwa hatari kama
vile shinikizo kubwa
la damu, kiharusi na kisukari
na kwa kutaja machache.
Hivyo basi
ili kuondokana na
hatari hiyo, yakupasa kupambana
kuondoa hayo mafuta
yasiyo hitajika mwilini
mwako.
NJIA ZA
KUONDOA KITAMBI.
Unaweza kuondokana
na kitambi kwa
kufanya diet pamoja
na mazoezi ya mwili
na viungo.
Vilevile unaweza
kuondoa kitambi na
kupunguza mafuta mwilini
kwa kutumia dawa
asilia ya kuondoa
kitambi na kuondoa
mafuta yasiyo hitajika
mwilini.
DAWA ASILIA
YA KUONDOA KIAMBI
NA MAFUTA MWILINI.
Hii ni
njia ya uhakika
kabisa ya kuondoa
tatizo la kitambi
pamoja na mafuta
yasiyo hitajika mwilini.
Unaweza
kuondoa tatizo la
kitambi pamoja na
kupunguza mafuta mwilini
kwa kutumia DAWA
ASILIA IITWAYO YA
MKATAA KITAMBI.
Dawa
hii ni ya asili
kabisa
“ Pure
Herbal “, ambayo haijachanganywa na
kemikali yoyote, haina side
effect kwa mtumiaji na
inaondoa kabisa tatizo
la kitambi ndani
ya siku kumi
na nne.
JINSI DAWA
YA MKATAA KITAMBI
INAVYO FANYA KAZI.
1.
Huyeyusha mafuta
yasiyo hitajika mwilini.
2.
Husaidia kupunguza
hamu ya chakula.
3.
Inazuia kutengenezwa
kwa seli za
mafuta ( fat cells ) katika
mwili wa mwanadamu. Unapokula chakula
chenye mafuta mengi, dawa
hii asilia hupambana kuyafanya
mafuta hayo yasitengeneze
seli za mafuta
mwilini mwako. Hali hii
huuepusha mwili wako
kuhifadhi mafuta yasiyo
hitajika mwilini.
4.
Husaidia kupunguza
uzito wa mwili kwa haraka
sana endapo itatumika
pamoja na diet
ya kabechi.
UFANISI WA
DAWA.
Ufanisi wa
dawa hii ni
wa asilimia mia
moja. Dozi ya dawa
hii hutumika kwa
muda wa siki
ishirini na moja.
MATOKEO YA
DAWA:
Dawa hii
huondoa kabisa kitambi
ndani ya siku
kumi na nne.
BEI YA
DAWA :
Dawa hii
inaoatikana kwa kiasi
cha SHILINGI ELFU
HAMSINI TU (Tshs. 50,000/=)
MAHALI TUNAPO
PATIKANA.
Tunapatikana jijini
DAR ES SALAAM, katika eneo
la TABATA -MAKOKA
karibu na SHULE
YA SEKONDARI YA
MT.ANNUARITE.
KWA WATEJA
WASIO WEZA KUFIKA
OFISINI KWETU.
Kwa wateja
wasio weza kufika
ofisini kwetu Tabata, tunao
utaratibu wa kuwafikishia
dawa mahali popote
walipo ndani ya
jiji la Dar
Es salaam.
KWA WATEJA
WA NJE YA
DAR ES SALAAM.
Kwa
wateja waliopo
nje ya Dar
Es salaam, tunawatumia dawa
kwa njia ya
MABASI.
Kwa wateja
wa ZANZIBAR tunawatumia
dawa kwa njia ya
boti.
KWA WATEJA
WA NJE YA
NCHI:
Kwa wateja
wa nje ya
nchi, tunatumia dawa kwa
njia ya POSTA
au DHL.
WASILIANA NASI
KWA SIMU NAMBA : 0766
53 83 84
No comments:
Post a Comment