Tuesday, June 9, 2015

DKT. SHEIN ATENMBELA SKULI NA MAKUMBUSHO BERLIN UJERUMANI

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Naibu Meya wa Postdam Bibi Elona Muller wakati alipotembelea Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam mjini Berlin akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe waliofuatana katika ziara ya kikazi Nchini Ujerumani nao ambapo Skuli hiyo inaushirikiano na Mwanakwerekwe Skuli ya Zanzibar.
Wanafunzi wa Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam walipomkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein na ujumbe waliofuatana katika ziara ya kikazi Mjini Berlin Nchini Ujerumani mara walipotembelea skulini hapo ambapo Skuli hiyo inaushirikiano na Mwanakwerekwe Skuli ya Zanzibar.
Wanafunzi wa Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam wakiiimba wimbo maalum wakiwa na utambilisho wa Bendera ya Zanzibar walipomkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein na ujumbe waliofuatana katika ziara ya kikazi Mjini Berlin mara walipotembelea skulini hapo ambapo Skuli hiyo inaushirikiano na Mwanakwerekwe Skuli ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein na ujumbe waliofuatana katika ziara ya kikazi Mjini Berlin wakiwa wamesimama wakiimbiwa wimbo maalum na Wanafunzi wa Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam walipotembelea Skuli hiyo ambayo inaushirikiano na Skuli ya Mwanakwerekwe ya Zanzibar.
Wanafunzi wa Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam wakiiimba na kucheza kuwakaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein na ujumbe waliofuatana katika ziara ya kikazi Mjini Berlin Nchini Ujerumani mara walipotembelea skulini hapo ambapo Skuli hiyo inaushirikiano na Mwanakwerekwe Skuli ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein na ujumbe waliofuatana katika ziara ya kikazi Mjini Berlin Nchini Ujerumani wakiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam walipotembelea Skuli hiyo yenye ushirikiano na Mwanakwerekwe Skuli ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na ujumbe wake wakiwaangalia wanafunzi wa Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam wakati walipokuwa wakijibu masuala wakiwa katika moja ya madarasa skulini hapo wakiwa katika ziara Mjini Berlin nchini Ujerumani.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiulizwa suali na watoto wakati wa zoezi hilo maalum lililotayarishwa kwa wanafunzo hao wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake walipoingia katika darasa kuangalia jinsi wanavomudu masomo yao na vitendo mbali mbali wanavyofundishwa na walimu wao katika Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam walipofanya ziara ya kikazi Mjini Berlin Nchini Ujerumani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam Bibi Michael Jungling alipotembelea Skuli hiyo na ujumbe wake katika ziara ya kikazi Mjini Berlin Nchini Ujerumani.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimkabidhi zawadi Naibu Meya wa Postdam Bibi Elona Muller alipotembelea Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam yenye ushirikiano na Skuli ya Mwanakwerekwe Zanzibar akiwa katika ziara ya kikazi Mjini Berlin Nchini Ujerumani.
Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Dr.Christoph Hauser Naibu Mkurugenzi Mkuu Idara ya Ushikiano wa Kimataifa wa Sayansi walipokuwa wakiangalia kukumbu mbali mbali walipotembelea Makumbusho ya Mjini Berlin Nchini Ujerumani wakiwa katika ziara ya kikazi.
Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Idara ya Sayansi katika Historia halisia Mjini Berlin Nchini Ujerumani wakati walipotembelea makumbusho katika Mji huo wakiwa katika ziara ya kikazi.
Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakimsikiliza Daniela katika Idara bya Sayansi Mjini Berlin Nchini Ujerumani akitoa maelezo wakati walipotembelea makumbusho yenye vitu vingi halisia katika Mji huo wakiwa katika ziara ya kikazi.
Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo na Uongozi wa Idara ya Sayansi wakati walipotembelea Makumbusho katika Mji wa Berlin Nchini Ujerumani katika ziara ya kikazi.
Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimakabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar Dr.Christoph Hauser Naibu Mkurugenzi Mkuu Idara ya Ushikiano wa Kimataifa wa Sayansi baada ya mazungumzo yao walipotembelea Makumbusho katika Mji wa Berlin Nchini Ujerumani katika ziara ya kikazi(kushoto) Mama Mwanamwema Shein. [Picha na Ramadhan Othman,]

No comments: