Saturday, May 9, 2015

TAZAMA ATHARI YA MVUA ILIONYESHA JIJINI DAR NA KUPELEKEA UHARIBIFU MKUBWA WA MIUNDOMBINU KAMA HIVI.

Athari ya mvua hasa kwa miundo mbinu ni kubwa,pichani ni sehemu ya barabara ya mbezi chini.

Uchafu mkubwa uliokuwa umeziba daraja la mto mbezi chini ukiondolewa,kuziba kwa daraja hilo ilipelekea maji ya mto huo kupita juu ya daraja na kupelekea atha kubwa kwa wakazi wa eneo hilo na sehemu nyingine.
Athari kubwa ya mvua iliyopelekea kuleta adha kubwa katikati ya jiji la Dar na kwingineko,pichani ni hali halisi ya maji kutuama mbele ya soko la Mboga mboga na Matunda eneo la Afrika Sana-Sinza.





Kufa kufaaaana.


Sehemu ya Mto mbezi




No comments: