![]() |
Shengwe za wananchi kwa tamasha lililopigwa tangu saa 7 mpaka asubuhi siku iliyofuata na hapa ni mapema kabisa ngoma saa tisa huku burudani zikiwa tayari zimeshika kasi. |
![]() |
Ming'aro ya Mwanza wenyeji na wageni. |
![]() |
Mkali mwingine huyu hapa akionesha ufundi. |
![]() |
'Shikilia' |
![]() |
JJ Band walikisanukisha ile mbaaaayaa... |
![]() |
Director Shahib wachaaaaaa......'Changamka' na 'Chemsha Ubongo' |
![]() |
'Mida ya night' |
![]() |
'Changamka' |
![]() |
Ze area at JEMBEKA FESTIVAL lililofanyika mwishoni mwa wikijijini Mwanza. |
![]() |
Mo Music toka Mwanza. |
![]() |
Mensen Selector alikamua ile kisawasawa.... |
![]() |
Kanyaboya ilibamba.. |
![]() |
Toka kijiji cha Jembeka VIP Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Mhe. Stanslaus Mabula mwenye koti jekundu nyuma akiwa na wadau wa burudani akiwemo msanii Juma Nature. |
![]() |
Hisia.... |
![]() |
Jembeka Red Carpet. |
![]() |
Pam D akiwa na shabiki wake. |
![]() |
Pam D (kushoto) akiwa na Baraka De Prince. |
![]() |
Rais wa Team Maua Classic 'Bob White Pamba' akihojiwa na mtangazaji wa 93.7 Jembe Fm mwanadada Jackline Shuma wa kipindi cha Hit Zone. |
No comments:
Post a Comment