Baadhi ya
watayarishaji wa chakula wakiwaandaa samaki aina ya migebuka tayari kwa ajili
ya kuwauzia wateja wao katika tamasha la Migebuka (Migebuka Festival)
lililofanyika mjini Kigoma.
Samaki aina ya
migebuka wakianikwa tayari kwa ajili ya kuchomwa .
Maandalizi yakiendelea
Mr.Eliud mmoja wa
wapishi maarufu wa mjini Kigoma akiandaa migebuka ya kuchoma kwa ajili ya
wateja wake.
Wadau waliohudhuria
tamasha hilo wakila Migebuka na ugali aina ya Loe
Mkurugenzi wa Rachel
Salon ya Mjini Kigoma Rachel Elias (wa pili kushoto) akitoa maelezo kwa Mkuu wa
wilaya Kigoma Xavery Mwangasame Maketa (kulia) kuhusu aina tofauti tofauti za
uandaaji wa samaki kwa ajili ya kuliwa.
Baadhi ya washiriki wa
tamasha la migebuka wakitoa maelezo kwa Mkuu wa wilaya kigoma Xavery Mwangasame
Maketa alipokuwa akitembelea katika mabanda yao.
Baadhi ya washiriki wa
tamasha la migebuka wakitoa maelezo kwa Mkuu wa wilaya kigoma Xavery Mwangasame
Maketa alipokuwa akitembelea katika mabanda yao.
Mkuu wa wilaya Kigoma
(wa pili kulia mwenye suti na tai) akipata maelezo namna ya utengenezaji wa
mishikaki ya samaki kutoka kwa Mr.Eliud wa mjini Kigoma wakati wa Tamasha la
Migebuka.
Mratibu wa tamasha la
Migebuka Festival Iddi Msabaha akitoa maelezo kwa mgeni rasmi kuhusiana na
tamasha hilo.
Mkuu wa wilaya Kigoma (wa pili kulia mwenye suti na tai) akipata maelezo namna ya utengenezaji wa mishikaki ya samaki
Mratibu wa tamasha la Migebuka Festival Iddi Msabaha akitoa maelezo kuhusiana na tamasha hilo.
Amour Bend ya mjini Kigoma ikitumbuiza.
Mkuu wa wilaya Kigoma
akitoa hotuba wakati wa tamasha hilo akimwakilisha Mkuu wa Mkoa Kigoma Issa
Machibya.
Mkuu wa wilaya Kigoma
akitoa hotuba wakati wa tamasha hilo akimwakilisha Mkuu wa Mkoa Kigoma Issa
Machibya.
Wadau mbalimbali wa
mjini Kigoma wakijumuika kwa kula mgebuka na vinywaji mbalimbali.
Wadau mbalimbali wa
mjini Kigoma wakijumuika kwa kula mgebuka na vinywaji mbalimbali.
Msanii wa Bongo Fleva
Baba Revo akiburudisha kwenye tamasha la Migebuka mjini kigoma.
Msanii Bob Junior
akitumbuiza katika tamasha la mgebuka lililofanyika mjini Kigoma.
Picha zote na Editha
Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma
No comments:
Post a Comment