 |
| Wanachama ACT wazalendo la wananchi wa jimbo la Morogoro mjini wakiwa katika mkutano wa ACT wazalendo leo |
viongozi wa kitaifa wa ACT wazalendo wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza mkutano wa hadhara jimbo la Morogoro mjini leo
 |
| Wanachama wa ACT wazalendo wakiimba wimbo wa Taifa leo |
 |
| Wananchi wakishiriki kuimba wimbo wa Taifa leo |
 |
| Afande Selle akitangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Morogoro mjini kupitia ACT Wazalendo leo |
 |
| Katibu mkuu wa ACT Wazalendo Bw Samson Mwigamba akieleza sera ya chama hicho leo |
 |
| Mwenyekiti wa Taifa wa ACT wazalendo Anna Mngwira akiwahutubia wananchi wa jimbo la Morogoro mjini leo |
Zitto Kabwe kushoto na afande Selle wakionyesha alama ya ACT wazalendo
viongozi wa ACT wazalendo wakijumuika kucheza wimbo mpya wa ACT wazalendo
 |
| kiongozi wa ACT wazalendo Zitto Kabwe akihutubia katika mkutano wa chama hicho jimbo la Morogoro mjini leo |
No comments:
Post a Comment