Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara wa
Madini ya Vito nchini (TAMIDA), Sammy Molel (aliyesimama), akiwaeleza
Wafanyabiashara wa madini hayo utaratibu wa kushiriki katika Maonesho ya Nne ya
Vito ya Arusha. Maonesho hayo yanafanyika katika Hoteli ya Mount Meru jijini humo katika Hoteli ya Mount Meru kuanzia Aprili 21 – 24, 2015.
Baadhi ya Wafanyabiashara wa madini ya vito
nchini, wakimsikiliza Mwenyekiti wao, Sammy Molel (hayupo pichani) aliyekuwa
akiwaeleza utaratibu wa kushiriki katika Maonesho ya Nne ya Vito ya Arusha.
Maonesho hayo yanafanyika katika Hoteli ya Mount Meru

Baadhi ya
Wanakamati/Sekretarieti ya Maandalizi ya Maonesho ya Nne ya Vito ya Arusha,
wakiwa katika hatua za mwisho za maandalizi katika Hoteli ya Mount Meru.
Maandalizi ya Maonesho:
Sekretarieti wakiwasajili washiriki mbalimbali wa Maonesho ya Vito ya Arusha
yanayofanyika katika Hoteli ya Mount Meru jijini humo. Maonesho hayo
yatafunguliwa rasmi Aprili 22 na Waziri wa Nishati na Madini, George
Simbachawene.

Kamishna Msaidizi wa
Madini, Sehemu ya uongezaji thamani madini, Salim Salim (kushoto) akitoa
maelezo kwa Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha Jowika Kasunga (katikati) kuhusu
madini vito, alipotembelea maonesho ya vito ya Arusha yanayofanyika katika Hoteli
ya Mount Meru jijini humo. Hili ni moja ya mabanda katika maonesho hayo.
Wafanyabiashara wa
madini ya vito wakiuza madini kwa wateja. Hili ni moja ya mabanda katika
maonesho ya vito ya Arusha yanayofanyika katika Hoteli ya Mount Meru jijini
humo.
Wafanyabiashara wa madini vito wakitathmini
madini yao kabla ya kuyapanga tayari kwa mauzo katika maonesho ya vito ya
Arusha. Maonesho hayo yanafanyika katika Hoteli ya Mount Meru jijini humo
Wafanyabiashara wa
madini ya vito kutoka Rwanda wakimpatia Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Jowika
Kasunga na ujumbe wake vijitabu vyenye maelezo kuhusu madini hayo,
alipotembelea banda lao katika maonesho ya vito yanayoendelea jijini Arusha
katika Hoteli ya Mount Meru.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa
Arusha, Jowika Kasunga (kulia-katikati), akiangalia kinyago cha Ndege
aliyetengenezwa kwa kutumia jiwe, alipotembelea banda la Kituo cha Jimolojia
Tanzania. Kituo hicho hutoa mafunzo ya ukataji madini ya vito pamoja na
uongezaji thamani mawe.
Afisa Uhusiano Wakala
wa Ukaguzi Madini Tanzania (TMAA), Yisambi Shiwa (Kulia), akitoa maelezo kuhusu
huduma zinazotolewa na Wakala huo kwa Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Jowika
Kasunga na ujumbe wake, alipotembelea banda la TMAA katika maonesho ya vito ya Arusha
yanayofanyika jijini humo katika Hoteli ya Mount Meru kuanzia Aprili 21 – 24,
2015.
Maandalizi ya Maonesho:
Sekretarieti wakiwasajili washiriki mbalimbali wa Maonesho ya Vito ya Arusha
yanayofanyika katika Hoteli ya Mount Meru jijini humo. Maonesho hayo
yatafunguliwa rasmi Aprili 22 na Waziri wa Nishati na Madini, George
Simbachawene.
Baadhi ya madini ya
vito yanayouzwa na wafanyabiashara wa madini hayo katika maonesho ya vito ya
Arusha, yanayofanyika jijini humo katika Hoteli ya Mount Meru kuanzia Aprili 21
– 24, 2015. Maonesho hayo yatafunguliwa rasmi Aprili 22 na Waziri wa Nishati na
Madini, George Simbachawene.
Baadhi ya madini ya vito yanayouzwa na wafanyabiashara wa madini hayo katika maonesho ya vito ya Arusha, yanayofanyika jijini humo katika Hoteli ya Mount Meru kuanzia Aprili 21 – 24, 2015.

No comments:
Post a Comment