Dr. Ndege amesema kuwa Jembe FM imepania kuwa sehemu ya uchangiaji wa ukuaji wa maendeleo ya jiji la Mwanza lenye hazina za kitalii, uvuvi, madini na sekta mbalimbali za uchumi, viwanda biashara kwa kuhakikisha inapenya kihabari na kuainisha changamoto mbalimbali za jamii husika ikiwa ni sambamba na kutoa ushauri kwa nini kifanyike. ZAIDI BOFYA PLAY KUSIKILIZA YALIYOJIRI TANGU AWALI KUPITIA JEMBE FM.
Mkurugenzi wa Mtendaji wa Jembe ni Jembe ambaye ni mmiliki wa Jembe FM Radio, Dr. Sebastian Ndege (kulia) akitambulishwa hewani na moja kati ya watangazaji wa kituo hicho Timoth Ngalula (kushoto). |
Mtangazaji Timoth Ngalula akiendelea kufanya yake at the same time 'Casmir Jembe' akiiba upicture ndani ya 93.7 |
Kutoka Jembe DjZ ni Dj K-Flip ndiye aliyekuwa akifanya makamuzi. |
Jembe na producer Okeleky. |
Kutoka Jembe DjZ ni |
Mikakati mipango na mifano yenye uhalisia.....Dah... watu kwi-kwi-kwi... |
Very interesting.....ingawa picha za tukio hili zilipigwa kwa kutumia kamera zisizo na sauti. |
Mfano kwa dhati... |
Jembe DjZ wamekubali mada. |
Sasa ni wakati wa kula bata @jembenijembe Instagram. |
Washkaji wametoka Arusha hadi Mwanza 'KUJEMBEKA' kutoka kushoto ni Fredy Materu, George Albert, Ray, na Bonny wakiwa na rubani wao 'Casmir Jembe' pale kati. |
Another one. |
No comments:
Post a Comment