Meneja Masoko wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Maria Alina Kimaryo akizungumza katika warsha ya siku ya moja ya kujengeana uwezo na mshikamano mahali pa kazi iliyoandaliwa na kitengo cha masoko cha benki hiyo na kuwashirikisha wafanyakazi wa vitengo mbalimbali vya NBC. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Kitengo cha Kusimami Ubora wa Huduma kwa Wateja wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Jane Dogani (katikati) akizungumza katika warsha ya siku ya moja ya kujengeana uwezo na mshikamano mahali pa kazi iliyoandaliwa na kitengo cha masoko cha benki hiyo na kuwashirikisha wafanyakazi wa vitengo mbalimbali vya NBC.
Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Rukia Mtingwa (kulia), akizungumza katika warsha ya siku ya moja ya kujengeana uwezo na mshikamano mahali pa kazi iliyoandaliwa na kitengo cha masoko cha benki hiyo na kuwashirikisha wafanyakazi wa vitengo mbalimbali vya NBC.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Pius Tibazarwa (wa pili kulia) akishiriki michezo na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo katika warsha ya siku ya moja ya kujengeana uwezo na mshikamano mahali pa kazi iliyoandaliwa na kitengo cha masoko cha benki hiyo na kuwashirikisha wafanyakazi wa vitengo mbalimbali vya NBC.
Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe akizungumza katika warsha hiyo.
Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa NBC walioshiriki warsha hiyo wakifanya mafunzo kwa njia ya michezo.
Wafanyakazi wa kitengo cha masoko cha benki ya NBC wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wenzao waliowaalika katika warsha hiyo.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Pius Tibazarwa (wa sita kushoto, waliosimama) akipiga picha ya pamoja na wafanyakazi walioshiriki warsha hiyo.
Washiriki wa warsha hiyo wakibebana katika mchezo wa kuvuka ‘daraja’ ikiwa ni sehemu ya mafunzo kupitia michezo katika warsha hiyo.
Washiriki wa warsha hiyo wakifanya moja ya michezo ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao ya kujengeana uwezo na mshikamano katika hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment