| Baadhi ya magari ya mashindano. |
| Hizi ndio zawadi zinazotarajiwa kutolewa kwa washindi katika mashindano hayo. |
| Babu ,Gerad Miller akiteta jambo na Navigator wake Peter Fox mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Silkh Club. |
| Wakaguzi wa magari wakiendelea kupitia vitu mbalimbali vitakavyotumika katika mashindano hayo. |
| Baadhi ya magari yakiingia uwanjani kwa ajili ya ukaguzi wa mwisho kabla ya mashindano. |
| Hii ndio Evo IX inayotumiwa na mkongwe Gerad Miller maarufu kama babu katika mbio hizo. |
| Mafundi wakiweka mafuta ya ndege katika moja ya magari yanayoshiriki mbio hizo. |
| Hizi ni aina ya gari zitakazoonekana kuleta ushindani katika mbio hizo. |
| Mzee Taylor ambaye safari hii amewaaachia watoto wake wawili ,Kelvin na Issack kumuwakilisha katika mbio hizo hapa alikuwa akiteta nao jambo kabla gari aijangia kwa ajili ya ukaguzi. |
| Huyu ndiye kijana Dharam Pandya anayetajwa kuwa tishio kwa wakongwe. |
| Mkongwe mwingine Kurjit Pandya ambaye ameingia katika mashindano hayo yeye na mwanae wote wakiwa ni washiriki. |
| Hili ni gari jingine ambalo kijana anaye endesha gari hili anatajwa kuwa ndiye tishio kwa mkongwe Gerad Miller na familia ya Taylor. |
| Magari yanaotajwa kutoa ushindani mkali katika mbio hizo.Mamboz na Madebe linalotajwa kufungwa injini mpya ambayo bado kilometa zake zinasoma 0. |
| Baadhi ya magari ambayo tayari yamekwisha fanyiwa ukaguzi yakiwa katika maegesho . |
| Mkongwe Gerad Miller ,akiwa katika gari lake aina ya Evo IX ,ni mmoja wa madereva wanaotajwa kuwa tishio katika mbio hizo za Magari. |
| Moja ya magari ambayo yanatajwa kutoa ushindani katika mashindano hayo. |
| Mkurugenzi wa KAmpuni ya U-Track ,Zulfikar Mohamed akihakikisha kila gari linaloshiriki katika mashindano hayo linafungwa kifaa maalumu kwa ajili ya kufuatilia mwenendo wa gari. |
Na Dixon Busagaga wa Globu aya Jamii Kaskazini.
No comments:
Post a Comment