Mwenyekiti wa kampuni ya kampuni ya Ginadi International na Murhandiziwa ya Afrika ya Kusini,Profesa Bongani Aug Khumalo (kushoto) na Mkurugenzi wa Bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania, Abbas Tarimba(kulia) wakisaini mkataba ambapo kampuni ya Murhandiziwa imepewa leseni ya kuendesha michezo ya bahati nasibu nchini.Hafla ya kusaini makubaliano imefanyika jjijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa kampuni ya kampuni ya Ginadi International na Murhandiziwa ya Afrika ya Kusini,Profesa Bongani Aug Khumalo (kushoto) na Mkurugenzi wa Bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania, Abbas Tarimba(kulia) wakibadilishana nyaraka za mkataba muda mfupi baada ya kusaini makubaliano ambapo kampuni ya Murhandiziwa imepewa leseni ya kuendesha michezo ya bahati nasibu nchiniHafla ya kusaini makubaliano imefanyika jjijini Dar es Salaam leo
Maofisa kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha na waandishi wa habari (pichani) walihudhuria hafla ya kusaini mkataba baina ya kampuni ya Murhandiziwa na Bodi ya Michezo ya kubahatisha iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment