Monday, March 23, 2015

ICF na TIC Kuongeza Uwekezaji Nchini

Rais mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa akikaribishwa na Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji,Mh. Ing. Christopher Chiza wakati alipowasili kwenye Ofisi za Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) leo Machi 23.Picha zote na Othman Michuzi.
Rais mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Prof. Lucian Msambichaka wakati alipowasili kwenye Ofisi za Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) leo Machi 23.Kushoto ni Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji,Mh. Ing. Christopher Chiza.
Rais mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa akiwasalimia baadhi ya Wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) waliojitokeza kumpokea wakati alipowasili.
Rais mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa (wa pili kushoto) akizungumza jambo na Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji,Mh. Ing. Christopher Chiza pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Prof. Lucian Msambichaka.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Juliet Kairuki.
Rais mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa (wa pili kulia) akizungumza na Uongozi wa Juu wa Taasisi inayoshughulikia mazingira ya Uwekezaji Barani Afrika (ICF-Africa) pamoja na Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kabla ya kuanza kwa hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya kusaidia kuvutia na kuongeza uwekezaji wa ndani na nje ya nchini baina ya taasisi hizo mbili,uliofanyika leo Machi 23,2015 kwenye ofisi ya TIC jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Prof. Lucian Msambichaka (aliesimama) akitoa taarifa ya utangulizi kabla ya kumkaribisha Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji,Mh. Ing. Christopher Chiza kutoa hotuba yake,wakati wa hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya kusaidia kuvutia na kuongeza uwekezaji wa ndani na nje ya nchini baina ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) na Taasisi inayoshughulikia mazingira ya Uwekezaji Barani Afrika (ICF-Africa),iliyofanyika leo Machi 23,2015 kwenye ofisi ya TIC jijini Dar es salaam.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji,Mh. Ing. Christopher Chiza akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya kusaidia kuvutia na kuongeza uwekezaji wa ndani na nje ya nchini baina ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) na Taasisi inayoshughulikia mazingira ya Uwekezaji Barani Afrika (ICF-Africa),iliyofanyika leo Machi 23,2015 kwenye ofisi ya TIC jijini Dar es salaam.
Rais mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya kusaidia kuvutia na kuongeza uwekezaji wa ndani na nje ya nchini baina ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) na Taasisi inayoshughulikia mazingira ya Uwekezaji Barani Afrika (ICF-Africa),iliyofanyika leo Machi 23,2015 kwenye ofisi ya TIC jijini Dar es salaam.Kulia ni Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji,Mh. Ing. Christopher Chiza.
Mwenyekiti Mwenza wa Taasisi inayoshughulikia mazingira ya Uwekezaji Barani Afrika (ICF-Africa),Neville Isdell (aliesimama) akizungumza machache kwenye hafla hiyo.
Rais mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa (kushoto) na Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji,Mh. Ing. Christopher Chiza (wa pili kulia) wakisaini wa makubaliano ya kusaidia kuvutia na kuongeza uwekezaji wa ndani na nje ya nchini,wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Machi 23,2015 kwenye ofisi ukumbi wa Mikutano wa TIC,jijini Dar es Salaam.Wanaoshuhudia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Prof. Lucian Msambichaka (kulia),Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Juliet Kairuki pamoja na Mtendaji Mkuu wa Taasisi inayoshughulikia mazingira ya Uwekezaji Barani Afrika (ICF-Africa),William Asiko.
Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Juliet Kairuki (kulia) akibadilishana mikataba na Mtendaji Mkuu wa Taasisi inayoshughulikia mazingira ya Uwekezaji Barani Afrika (ICF-Africa),William Asiko mara baada ya kusainiwa.
Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Juliet Kairuki (kulia) akizungumza machache wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kusainiwa kwa mikataba ya makubaliano ya kusaidia kuvutia na kuongeza uwekezaji wa ndani na nje ya nchini.Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi inayoshughulikia mazingira ya Uwekezaji Barani Afrika (ICF-Africa),William Asiko. 
Sehemu ya Wafanyakazi wa TIC wakiwa kwenye mkutano huo.
Rais mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa (wa nne kushoto) akifafanua jambo wakati wakati wa hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya kusaidia kuvutia na kuongeza uwekezaji wa ndani na nje ya nchini baina ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) na Taasisi inayoshughulikia mazingira ya Uwekezaji Barani Afrika (ICF-Africa),iliyofanyika leo Machi 23,2015 kwenye ofisi ya TIC jijini Dar es salaam.



Picha ya Pamoja.

No comments: