Tuesday, March 24, 2015

JK ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WAPYA WA JESHI LA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM

Fan fare inapigwa wakati Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Askari wa farasi wakimlaki Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Pereira Silima mara alipowasili katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi. Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Silima na kushoto kwake ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Mecky Sadiki
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akielekea sehemu ya kupokea heshima  katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Makamishna wa Polisi wakitoa saluti wakati wimbo wa Taifa ukipigwa
Sehemu ya viongozi mbalimbali
IGP Mstaafu Saidi Mwema alikuwepo pia
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisimama kwa ukakamavu wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Kikosi cha bendera na brass band ya polisi wakati wa Wimbo wa Taifa
Sehemu ya maafisa waliotunukiwa vyeo katika kamisheni hiyo
Kamanda wa gwaride akitoa amri
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akielekea kukagua gwaride katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwetea akikagua gwaride la wahitimu hao  katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Wahitimu wakikaguliwa na Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Ukaguzi ukiendelea
Sehemu ya maafisa wapya wakiwa katika gwaride hilo
Upang begani
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizw kukagua bras band katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua brass band katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Ukaguzi wa Brass band ukiendelea
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihitimisha kukagua brass band  katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Kamanda wa gwaride akimshukuru Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa kukagua gwaride katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Wasafisha njia kazini
Wahitimu waliofanya vizuri wakisogea mbele kutunukiwa nishani na zawadi
Mshereheshaji mkuu akisoma majina ya maafisa waliofanya vyema katika mafunzo
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa kamesheni moja wa wahitimu  katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi

Gwaride la maafisa wahitimu wakitembea mwendo pole na kutoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete  katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Maafisa wahitimu wakipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete  katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Maafisa wahitimu
Heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu
Sehemu ya wahitimu
Wanahabari wakirekodi tukio bila kujali mvua iliyokuwa ikinyesha
Wanahabari toka vyombo mbalimbali wakiwa kazini
Afisa mhitimu akichukua taswira ya wenzake katika gwaride
Kamishna wa Jeshi la Polisi (Utawala) Afande Thobias Adengenye (kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Kamishna Diwani Athuman
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. PereiraSilima akiwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki, NAIBU IGP Abdulrahman Omar Juma Kaniki, Meja Jenerali,JamesMwakibolwa  wa JWTZ, Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja
Viongozi wa vikosi vya ulinzi na usalama
Sehemu ya wageni mashuhuri
Afisa mwandamizi Mstaafu wa Jeshi la Polisi Aden Mwamunyange akiwa na maafisa waalikwa wengine
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Biswalo Mganga (wa pili kulia) akiwa na maafisa waandamizi wengine
Mkuu wa Chuo cha Maofisa wa Polisi Dar es Salaam, Afande Ali Lugendo (kushoto) akiwa na ADC wa Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkaguzi Rioba
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka baada ya kutoa kamisheni kwa maafisa wapya  katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na IGP Mstaafu Saidi Mwema katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Paul Chagonja  katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Rais Kikwete akisalimiana na Kamishna wa Polisi Jamii,CP Musa Ali Musa 
Rais Kikwete akisalimiana na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Kipolisi ya Dar es Salaam,Kamishna Suleiman Kova 
Rais Kikwete akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiweka saini yake katika kitabu cha wageni akishuhudiwa na IGP Ernest Mangu na Mkuu wa Chuo cha Maofisa wa Polisi Dar es Salaam, Afande Ali Lugendo 
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akielekea uwanja wa sherehe  Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akielekea uwanja wa sherehe  huku mvua kuwa ikinyesha Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi

Sehemu ya maafisa waandamizi wa polisi
Bango
Kwaya ya Jeshi la Polisi
Kikundi cha utamaduni cha Jeshi la polisi
Msanii wa Jeshi la Polisi
MC wa sherehe akisoma ratiba
Kamishna Jenerali wa Polisi Ernest Mangu akisoma risala kwa mgeni rasmi
Kamishna Jenerali wa Polisi Ernest Mangu akisoma risala kwa mgeni rasmi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Pereira Silima akimkaribisha mgeni rasmi
Sehemu ya wahitimu

Mrakibu Msaidizi wa Polisi na mwanahabari mwandamizi Mohamed Ramah Mhina (kati) akiwa na wahitimu wenzie

Sehemu ya wahitimu
Wageni waalikwa
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubuia wahitimu na wage i waalikwa na viongozi katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 baada ya kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wahitimu katika  viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 baada ya kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiaga baada ya sherehe katika  Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bi Leah Samike, Mweka Hazina wa Chama cha Wapiga Picha za Habari Tanzania (PPAT)  katika viwanja vya Chuo Cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam, Jumatatu Machi 23, 2015 tayari kutunuku vyeo kwa maafisa wapya wa polisi

No comments: