Thursday, February 26, 2015

YAMOTO BAND KUFANYA SHOW MOJA YA MWISHO KWENYE JIJI LA NORTHAMPTON ENGLAND

kutokana na Maombi ya mashabiki wengi vijana wa Yamoto Band wameamua kufanya show moja na ya mwisho nchini Uingereza basi kama ulikosa ile ya London hii itakuwa si ya kukosa vijana kama kawaida yao wameahidi kufanya vitu fulani amazingg siku hiyo

DATE: 
Saturday 28th February 2015

VENUE:
Kitty Oshea's (Nest to pure gym)
St. peter's Way
Northampton NN1 !PS

YAMOTO CLASSICS

Nitakupwelepweta

Niseme

Najuta

Yamoto

EVENT BROUGHT TO YOU BY BONGO DEEJAYS & ZURII HOUSE OF BEAUTY

No comments: