Tuesday, February 24, 2015

PINDA AZINDUA UANDIKISHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA

  Baadhi ya watu waliohudhuria  katika Uzinduzi wa Uborereshaji wa Daftari kla Kudumu la Wapigakura  katika mji mdogo wa Makambako wakimsikiliza Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipohutubia katika uzinduzi huo  Februari 24, 2015

  Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipohutubia katika uzinduzi huo  Februari 24, 2015

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua  Uborereshaji wa Daftari kla Kudumu la Wapigakura  katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015.Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva na Katikati ni Katibu wa Tume hiyo, Ndugu Malaba. 
   Waziri Mkuu Mizengo Pinda   na Naibu Katibu Mkuu  ambaye pia ni Katibu Mwenezi wa CHADEMA  Mhe John 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekititi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva (kushpoto) , Naibu Katibu Mkuu  na Katibu Mwenezi wa CHADEMA, John Mnyika (kulia), Yusufu Mbungiro ambaye ni Afisa Uchaguzi na Mafunzo taifa wa Chama cha CUF (wapili kushoto) na Allan Bujo ambaye ni Mkuu wa Ulinzi wa CHADEMA baada ya kuzinua Uborereshaji wa Daftari

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama kazi ya uandiskishaji wapiga kura baada ya ya kuzinua Uborereshaji wa Daftari kla Kudumu la Wapigakura  katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015.
  Waziri Mkuu Mizengo Pinda   na Naibu Katibu Mkuu  ambaye pia ni Katibu Mwenezi wa CHADEMA  Mhe John Mnyika wakitazama kadi mpya ya mpigakura baada ya Waziri Mkuu, Kuzindua uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura  katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015

  Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akisisitiza jambo  katika uzinduzi huo  Februari 24, 2015
 Baadhi ya watalaamu wa kuandikisha wapiga  wakiwa na zana o za kazi kabla ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ya kuzinua Uborereshaji wa Daftari kla Kudumu la Wapigakura  katika mji mdogo wa Makambako 

No comments: