Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage (katikati) akiwa katika
kikao kilichojumuisha watendaji wa TANESCO, REA, na wakandarasi
wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Kulia kwa Waziri ni, Mhandisi Nishati Mwandamizi, kutoka Wizara ya
Nishati na Madini, Salum Inegeja na kushoto ni Mhandisi Thomas Visi,
Meneja wa kampuni ya Naomis Corporate Ltd inayotekeleza miradi ya
usambazaji umeme vijijini katika mkoa wa Mtwara.
Mhandisi Mkuu Usambazaji Umeme katika mikoa ya Dar es Salaam,
Benedict Lyaruu (wa kwanza kulia), Kaimu Meneja wa TANESCO, mkoa
wa Pwani, Eng. Rehema Mashinji (katikati) na Mhandisi Miradi ya Umeme
katika mkoa wa Pwani, Leo Mwakatobe (kushoto) wakimsikiliza Naibu
Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage (haonekani pichani) wakati
wa kikao chake na watendaji wa TANESCO, REA, na wakandarasi
wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini katika miko ya Lindi na Mtwara.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage (mbele, katikati) akiwa
katika kikao kilichojumuisha watendaji wa TANESCO, REA, na
wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini katika mikoa ya Lindi
na Mtwara. Kulia kwa Waziri ni, Mhandisi Nishati Mwandamizi, kutoka
Wizara ya Nishati na Madini, Salum Inegeja (kulia) na kushoto ni Mhandisi
Thomas Visi, Meneja wa kampuni ya Naomis Corporate Ltd inayotekeleza
miradi ya usambazaji umeme katika mkoa wa Mtwara.
Mhandisi Miradi ya Umeme katika mkoa wa Pwani, Leo Mwakatobe
(aliyesimama) akitoa taarifa ya utekelezaji wa miradi ya usambazaji umeme
katika mkoa wa Pwani mbele ya Naibu Waziri wa Nishati na Madini,
Charles Mwijage (haonekani katika picha). Wa kwanza kulia mstari wa
mbele, ni Meneja Mwandamizi wa TANESCO, Kanda ya Dar es salaam na
Pwani inayojumuisha mikoa ya Lindi na Mtwara, Mhandisi Mahende
Mugaya na wengine ni watendaji wa TANESCO na Wizara ya Nishati na
Madini.
Meneja wa TANESCO mkoa wa Lindi, Mhandisi John Bandiye akitoa
taarifa ya miradi ya usambazaji umeme vijijini katika mkoa wa Lindi, mbele
ya Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage (haonekani katika
picha).Wengine katika picha ni watendaji wa TANESCO kutoka mikoa ya
Dar es Salaam, Mtwara na Pwani.
No comments:
Post a Comment