Bwana Harusi Maneno Abdallah na Mkewe Bi Nusrat Tahwa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufunga ndoa hapo jana
Bwana harusi akielekea kuchukua jiko lake Kimara huku akisindikizwa na wapambe na Mshenga wake
Dua ikiendelea nyumbani kwa Mwanamke Kimara kabla ya ndoa kufungwa na Maneno kuondoka na Jiko lake
Nderemo na vifijo
Mtu akilia mara baada ya dada yake kuchukuliwa
Kaswida maridhawa akipigwa na watoto wa madrasa
Akifungishwa Ndoa hapo jana
Baba wa bi harusi akitoa nasaha kwa watoto wake
Akimfunua Mkewe mara baada ya kukabidhiwa rasmi hapo jana
Mdau Maneno akiondoka na jiko lake kuelekea kwake Segerea mara baada ya kufunga ndo hapo jana.Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
1 comment:
Mdau maneno unatakiwa uwe na wivu,sio kuliacha uchi jiko lako wazi kiholela.haifai yakhe
Post a Comment