Tuesday, February 17, 2015

MAMIA WAMZIKA MSANII MKONGWE MZEE EBBY SYKES

Baadhi ya waombolezaji wakishiriki mazishi ya msanii mkongwe, Ebby Sykes yaliyofanyika leo kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
 Waziri Mkuu mstaafu, jaji Joseph Warioba akiweka udongo.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Meck Sadick akiweka udongo katika kaburi la msanii mkongwe mzee Ebby Sykes.
 Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiweka udongo.
 Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akiweka udogo katika kaburi la mzee Ebby Sykes
 Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu akiweka udongo katika kaburi la mzee Ebby Sykes.
 Dully Sykes (wa pili kushoto) akiwa ndani ya kaburi la baba yake mzee Ebby Sykes wakati wa mazishi yake.
 Ndugu na jama wakishiriki mazishi.
Umati wa watu ukiwa katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam wakati wa mazishi ya baba yake mzazi ambaye pia ni msanii mkongwe mzee Ebby Sykes.

1 comment:

Anonymous said...

Innaalillah wa innaa ilayh raajiouun.kifo Ni mawaidha makubwa sana ,Na hasa pale anapo ondoka yule mwenye cheo,elimu,koo maarufu n.k lakini kwa Mola wetu mlezi amekijaalia kifo kuwa ni hitimisho la uhai wa mja tangu alipoletwa Na akakifanya kuwa mi sawa kwa wote bila tabaka mbalimbali ktk maisha yetu.kifo ni ukumbusho unaotukumbusha kila wakati kuwa ipo siku Na saa tutaiacha hii dunia namna tuwavyo.tuwaombee walo tutangulia kwa mola wetu mlezi awaondolee adhabu mbalimbali Na awape mema Na muda huo huo iwe ni mawaidha kwetu kwa kujiandaa Na safari yenye mwanzo Na isiyo Na mwisho."Ewe mola wetu mlezi tusamehe sisi na wale walo tutangulia Na utujaalie mwisho mwema "