Dr Marqus Kalinga Mstaafu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa akipokea tuzo yake kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHIF Balozi Ali Mchumo, kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Michael Mhando ![7](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_svEF1K6M65Q9WwVF6nqJySTmoVvfS46KoUkjUw3cIX4Kl-0jBnY3DRdagfgO025rA1G9anor2Q6ZSZcsay7m9-Su6LkBOU6U8qLXcKIH13O_xfISJirfMP6wDULa2xPqNCKQRE=s0-d)
Athman Rehani Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) akisoma wasifu wa mmoja wa wastaafu.
Mstaafu Peter Daniel akitoa shukurani zake mara baada ya kukabidhiwa zawadi zake katika hafla hiyo ya kuwaaga wastaafu wa Mfuko wa Bima Afya ya Taifa, kutoka kushoto wanaofurahia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Michael Mhando ![12](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_voYRxM9eHDZGO5oHKS3x9JflreCi89iS2rdiKWbnkovVaolGLxm1FefScfyR2RpmGuFWM3QaIHFZtHd61jNcuUsttL0FwArpSv70GxAzTVx_K_bW6bllpWBeUdaU7ealKQpeT1=s0-d)
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Michael Mhando kushoto akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Balozi Ali Mchumo kulia na Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti
Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti, Othman Rehani Mkurugenzi wa Afya ya Jamii CHF na Mkurugenzi wa Tiba na Masuala ya Kiufundi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dk.Frank Lekey wakipitia makabrasha wakati wa hafla hiyo. ![21](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_vgiXpr_8xzFMj6t3LdxlcMNoiCzmmBF2T65ZjG63YrCRIQ2D0k1m4n_Rb88cwPlFZYVdiGS93uIld39vhxtfBgpvu7KCEmo7Pe2aNGPn4oo6nKdswZYnt0kDqXq7BvUro3krss4w=s0-d)
Balozi Ali Mchumo Mwenyekiti wa Bodi Akiwasili ukumbini hapo huku akiwa ameongozana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bw. Michael Mhando. ![23](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_t2PHgLq81DjolubAA__QoIYtxCl5GH0bwR3TKG8dPG6YcrFMVpLP0D-hR7maC-wtFP3xJjlC-_w-t0vUh3zqWRiuxbrDuXdSHlmi997Nlyvfuzv3MooyKx8d25KXT0KYzYumey=s0-d)
Hapa wakiserebuka kidogo
Wafanayakzi wakiwa wamejipanga huku wakifurahia jambo wakati wa mapokezi ya viongozi na wafanyakazi wastaafu wakati walipowasili kwenye ukumbi wa Diamond tayari kwa hafla hiyo
Mzee Emanuel Humba pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wakiinga ukumbini hapo huku wakipokelewa na wafanyakazi. ![29](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_sR1r1cLjSUqZCBRH-hzDkbv5jWgggLcqHvL2At05AezKHIE5gW5XxRSGV6VKibXa2IdasNIaMzTpcyMB2UHlYjJaTWvGnb-oJ406AA7rFPUTkKcsPsbI8c0Tf1qae6uNHrFvM=s0-d)
Grace Michael kushoto Hawa Katikati na Catherin wakipozi kwa picha
Wafanyakazi hao wakimpelekea keki Kaimu Mkurugenzi mkuu NHIF Bw. Michael Mhando. ![33](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_t1JgYQBaJVMmh6JKahh0wo_3zPxNTvEArPKFoXiknlAzW9hfJsEVpBXa1X7ffV0FLYSP-yRpHXF0ySt1lqup8ktwMhdgfPwD4Il3dqigsj48xf-o_vmW5y3fDjdJJ_24mBToU=s0-d)
Balozi Ali Mchumo Mwenyekiti wa Bodi akimpongeza Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bw. Michael Mhando pamoja na baadhi ya wafanyakazi.![31](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tlQWqEc95LXwCSt-wj8eiouXj_-Al_4zJzOpMaHunzhpWH02Sld0xNubhfaxvjubBIbR4sYGHEFccDxQILrxB80GyuwttyciHgg5Ati4BAZHKusSI_IFB2c5SX7WrN_kysP8TApQ=s0-d)
Kutoka kushoto Maofisa wa NHIF Sabina Komba na Luhende Singu wakiwaongoza maofisa wenzao kufungua Shampeni wakati wa hafla hiyo.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE)
No comments:
Post a Comment